Mliozaliwa mjini tu

Mliozaliwa mjini tu

PLZ CAN I HV CUP OF COFFEE ?MANA NSHACHOKA NA HAYA MAISHA YA DANGANYA TOTO
SIKASIRIKI KUTOKUONA PICHA BAL MB 8 ZANGU😡
 
Duu..sema pale bado nusu avunjike mguu..ana bahati kishenzi.
 
Yani huyo jamaa enzi zile tunasoma alikuwa ni noma kweli...
Alikuwa ana uwezo wa kula sahani nne za wali peke yake....
 
Huyu jamaa nimesoma na ndugu zake,badala ya kuingia mesini na musting wanaingiaga na visado.,kimoja cha maharage(ndondo) full na (bondo)ugali full na kula lazima wavue mashati or t~shirt.Ni shiiiida.
 
Hii hatar sana inaonyesha jinsi fikra zetu zilivyo..... Mtu anaweza kuwe picha yenye ujumbe mzur lakn asiwepo mtu wa kutoa koment ila mtu hajaweka picha yoyote lakn wachangiaji wameivamia kwa wingi wakat hamna chochote....
Hahahah mleta thread atakuwa kapitia kwa mshana junior yule mtaal wa tiba asilia....
 
Back
Top Bottom