David Guetta
Member
- Jun 25, 2019
- 68
- 107
Fyatua tu hata mmoja mkuu, mimi mwenyewe nina plan ya kufyatua mmoja wa offside ili kubalance tabia.
Fanya ufanyavyo ila hakikisha una pesa,una hela,una mkwanja,,hakika hakuna kitakacho haribikaWazeeiyah, nataka nitest mitambo.
Tujuzane faida na changamoto zilizopo niweze kujipanga vema.
Nipo siriaz .
Adam alifunga ndoa ...Kwanini usifunge ndoa alafu uzae?