Mliozaa Nje ya Ndoa Tupeane Maujanja

Mliozaa Nje ya Ndoa Tupeane Maujanja

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,408
Reaction score
1,334
Wazeeiyah, nataka nitest mitambo.

Tujuzane faida na changamoto zilizopo niweze kujipanga vema.

Nipo siriaz .
 
Wee zaa tu ila ujiandae kupigwa pesaa na huyo wa nje
 
Vitu vingine kuomba ushauri hata Ibilisi anashangaa,mkuu we baki njia kuu acha kujiletea mzigo unaoepukika,lea wanao wapate matunzo mazuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23]test tu mkuu inaruhusiwa kikubwa asifanane Na mondi maana watoto wanjee ya ndoa wote wanafanana Na huyu kiumbe
 
Mtoto nje ya ndoa hupatikana kabla ya ndoa sio baada ya ndoa kama ushaoa basis tena. Ila raha yake ni kuwa ndani hapakariki kwa namna yoyote ilev
 
Mkuu usizae nje...

Kama watoto unapata ndani,huko nje unaenda tafuta watoto ili iweje?

Wewe kula kiusalama...watoto wa nje hua wanakuaga unbalanced psychologically sababu wanakua hawakai na wazazi wote wawili muda wote!

Yaani economically,socially and in everyway hiyo kitu ya kua na watoto nje ni hasara kimahesabu!

Even to think about it inaonesha decision making skills zako ni very questionable!
 
Vitu vingine kuomba ushauri hata Ibilisi anashangaa,mkuu we baki njia kuu acha kujiletea mzigo unaoepukika,lea wanao wapate matunzo mazuri
1. Kama ukiingia kwenye ndoa huku unajua kwamba mwenzako ana mtoto tayari (na anajitambua) hakuna ubaya...
2. Kuzaa mkiwa kwenye ndoa ni usaliti kwa sababu mwenza wako hategemei wewe kufanya hivyo....
Shida iliyopo kuna mchuchu nmemvumbua miezi michache iliyopita nahisi kuzisoma vizuri frekwensi zake, kifupi namwelewa sana na sijajua kwann sikumuona huyu kwanza kabla ya mama yooyoo miaka hiyo.

Kimsingi naota nikiwa naye miaka mingi mbeleni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mkuu utakutana nawengi wazuri wa kuvutia duniani, ila uchaguzi ni wako kuwa polygamy siyo dhambi kwa tamaduni zetu za kiafrika
 
Duuh[emoji18][emoji18][emoji18]
Mkuu usizae nje...

Kama watoto unapata ndani,huko nje unaenda tafuta watoto ili iweje?

Wewe kula kiusalama...watoto wa nje hua wanakuaga unbalanced psychologically sababu wanakua hawakai na wazazi wote wawili muda wote!

Yaani economically,socially and in everyway hiyo kitu ya kua na watoto nje ni hasara kimahesabu!

Even to think about it inaonesha decision making skills zako ni very questionable!
 
Kama mtu hataki zaa kwa makusudi utafanyaje
 
Back
Top Bottom