Mliozaa Nje ya Ndoa Tupeane Maujanja

Mliozaa Nje ya Ndoa Tupeane Maujanja

Yaani kuna watu wana damu za Sudan, automatically tuu unaichoka amani kabisaaa!
 
Wazeeiyah, nataka nitest mitambo.
Tujuzane faida na changamoto zilizopo niweze kujipanga vema.
Nipo siriaz .
kama huyo unaeenda kumzalisha nae yupo ndani ya ndoa sawa endelea na mpango wako ilamkama hayupo ndani ya ndoa yaani hajaolewa tafadhali sitisha hilo wazo lako maana unaenda kumvurugia maisha yake ya ndoa huko mbeleni
 
Chagua Moja kati ya haya mawili

1.Badili dini yako na mkeo wote muwe waislam kisha Oa mke wa pili

2.Mpe talaka mkeo Mfate huyo uloona frequency zinanasa bila mawimbi

Ukiona yote hayawezekani...tulia na mkeo na mfanye huyo dada rafiki share nae plan kila kitu fanya nae kama rafiki..ifike tu mahali unapoona umempenda mwanamke/mwanaume na wakati huo uko ktk mahusiano itoshe kumfanya abaki kua rafiki si kila tunaowapenda lazima tuwaite wake/waume zetu bana.

Tunaweza tengeneza marafiki pia imara...naamini huyo mwanamke ukimfanya rafiki uta enjoy sana Usiwaze sana papuchi yake..maana papuchi unaipata...

Vipi anajua kama una mke?
 
Hii ndo solution. Amuoe huyo ambaye sasa hivi anahisi ndo anampenda sana kisa wanakutana muda wa starehe. Amuoe afu ndo atajua frequency zipo low or high
anaacha radio ya mjerumani kisa anaiona yeye imechakaa na wala haina tatizo lolote basi tu haimpendezi macho yake

anafata sabufa sea piano la mchina kisa zuri na lina mdundo

watu wenye ID za namna hii huwa nahakikisha nazkariri vzuri muendelezo wa Thread zao
 
Anasahau kuwa hata kwa mkewe frequency zilikuwa zinanasa vizuri hadi wakafikia kuoana. Ngoja amuoe na huyo mchepuko tuone. Nashangaa sana mtu kufananisha maisha ya ndoa na ya kuchepuka
anaacha radio ya mjerumani kisa anaiona yeye imechakaa na wala haina tatizo lolote basi tu haimpendezi macho yake

anafata sabufa sea piano la mchina kisa zuri na lina mdundo

watu wenye ID za namna hii huwa nahakikisha nazkariri vzuri muendelezo wa Thread zao
 
Oa mke wa pili.

Shida iliyopo kuna mchuchu nmemvumbua miezi michache iliyopita nahisi kuzisoma vizuri frekwensi zake, kifupi namwelewa sana na sijajua kwann sikumuona huyu kwanza kabla ya mama yooyoo miaka hiyo.

Kimsingi naota nikiwa naye miaka mingi mbeleni.
 
Usifate mkumbo mkuu, mimi binafsi najuta kutokana na mtoto wa nje kutokuwa huru na familia niliyonayo.
Natamani kama mngeweza kuandika kwa kirefu kidogo; kuna mtu mmoja au zaidi angesaidika....
Inamuumiza sana mtoto kuliko mtu mwingine yeyote.
Dah katika maisha yangu so far hakuna kitu najutia kama niliyozaa nje...!!
 
Hakuna mtoto wa nje kuna mtoto wa mama mwingine!!! Over
 
Back
Top Bottom