Mliotabiri kifo cha CHADEMA mpo hapo?

Mliotabiri kifo cha CHADEMA mpo hapo?

Chama kiko ICU
Hats madaktari na manesi huwa wanaingia ICU, huenda kipo ICU kwa lengo la kutibu na kuokoa maisha ya mgonjwa Tanzania, kuna ubaya gani hapo?
Besides, kuwa ICU haimaanishi ni hatua Moja na ya mwisho kabla ya kifo.
Watoto Wa siku hizi busara hamuwezi kuwa nazo.
Zamani, radio Tanzania Dar es salaam walimua na kipindi cha salaam kwa wagonjwa, kati ya maneno yaliyokuwa yanapatikana kwenye wimbo kuashiria kuanza au kuisha kwa kipindi hicho in haya;
"Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salama..."
Tafakari!!!
 
Hey guy! Who told you so? You are just try to hide the known fact, but message sent to the targeted mean and we hv seen its impact. Note that,1st Oct is around the margin.
Which language is this? It seems similar to English but not quite. Please tell me.
 
CDM runs the show in this country. CDM proactive, CCM reactive. Ha ha haaa!
 
Kelele nyingi kumbe wakwepa kodi wakubwa.

Mabadiliko mabadiliko kumbe wao ndio wa kwanza kuwaibia wananchi!!!!!


Shame on you Chadema
 
Back
Top Bottom