Mliotabiri kifo cha CHADEMA mpo hapo?

Mliotabiri kifo cha CHADEMA mpo hapo?

Hili liko dhahiri. CHADEMA kwa sasa ndicho chama makini zaidi kwa Tanzania kuliko chama chochote. Hiki tunaweza kukilinganisha na chama cha Democracy Alliance(DA) ambacho ni chama pinzani kwa ANC kule Bondeni kwa marehemu mzee Madiba.
Juzi kwenye Uchaguzi wa Serikali xa Mitaa huko Bondeni, chama cha DA kimechukua karibu majiji yote muhimu ikiwemo Jo'Burg na Cape Town kama CHADEMA ilivyo kwa Dar-es-salaam na Arusha.
CCM kwa akili za kipuuzi wanazidi kuijenga CHADEMA. Mwenyekiti wao JPM anafikiri kuibana CHADEMA isifanye mikutano ya ndani na nje na wala isiandamane anaona ni mwarobaini wa kuimaliza CHADEMA. Lakini pia kwa akili ya Mwenyekiti huyu wa CCM anafikiri kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuanza kuwafuatilia kwenye Biashara zao anaona ni suluhisho la kuimaliza CHADEMA. Lazima ieleweke kwamba kwa maamuzi haya JPM amechemka na hii litamgharimu vibaya sana kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 ni swala la muda tu.
JPM forever. Hakuna wa kumtoa
 
Hey guy! Who told you so? You are just try to hide the known fact, but message sent to the targeted mean and we hv seen its impact. Note that,1st Oct is around the margin.
And CCM will be invited again to dance the same song of UKU TAA aaaa haaa.
 
Aliyechoka kuishi.. oct inamsubiri karibuni sana..yani mimi niiache familia yangu,watoto wangu wanaonitegemea ili wapate kuishi na kusoma eti nikaunge maandamano alaf nirudi sina kiungo au nimekufa kabisa.nasema hivi huo ni ulimbukeni ama ni upumbavu kabisa....ebu tujitambue jamani..yale yanayotokea nchi zingine tusiyaige, na sisii tutapotea.....
 
Spoon feeding hudhoofisha kufikiri kwa mliosomeshwa shule za kata, jitahidi!
Kumbe ccm ililenga kuanzisha shule za kata ili kudhoofisha fikra za walalahoi ili wewe uliyesomeshwa st magdalena uonekane bora.!
 
serikali imechezeshwa mziki wa cdm imenengua mziki kuliko hata wenye mziki
 
Chadema ndio moyo wa nchi hii
Mi naomba waendelee hivyo hivyo mana kupitia CHADEMA maendeleo yataletwa
Walivyotangaza Ukuta 1Sept tukaona polisi na harakati zao, majeshi na Usafi nchi zima.
Ukuta 1 October wameshaanza kupanda miti nchi zima aaa haaaa, wakikazana CHADEMA isogeze mbele
Watangaze Ukuta 1 November watakuja na ujenzi wa viwanda nchi nzima.
Wasogeze mbele Ukuta 1 December cjui watatufanyia nini Watanzania
CHADEMA mliposhika msiachie kandamiza hapohapo UKUTANI.
 
SEPTEMBER 1 KUTAKUA NAKUTA VIJA MAKOOFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
SEPTEMBER 1 UKUTA UMEHAIRISHWA VIJANA MAKOOFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
HIVI WANIVIJANA HAWA KWELI WANAJITAMBUA AU MANA NAKUWA KAMA SIWA ELEWI AU WANAENDESHWA MANA KILA KITU WANAPIGAGA MAKOFI TU KAZI KWELIKWEL
 
Kumbe ccm ililenga kuanzisha shule za kata ili kudhoofisha fikra za walalahoi ili wewe uliyesomeshwa st magdalena uonekane bora.!
Usijilinganishe na mimi, nimesoma nje ya nchi hebo!
 
Sawa mzee, hii ndio ule msemo wa kifungwa tumefugwa lakini chenga tumewala. Haya hongera kwa ushindi. Kaa ukijua viongozi wako wanalia, hela imepotea na hakuna walicho kipata.
 
Failure ya UKUTA ndo mnaita ubunifu?

Nyie watu mko delusional kweli.
kaka ukuta haja fail umefanikiwa sana kifikra kuliko action, no rahisi kulaumu ukiwa nyuma ya keyboard lakini wale walioko front line wanakumbana na shuruba, hivi jiulize viongozi karibu wote wa chama wamekamatwa wiki hii wengine wako mahabusu, nani ataorganise ukuta??
 
Chama kiko ICU
Wanajeshi wangefanya usafi mitaani, kwa sababu ya chama kilichoko ICU?

Jeshi la polisi lingehamia barabarani kwa sababu la chama kilichoko ICU?

Ile marufuku ya SIASA ulidhani imewekwa kwa ajili ya TLP au UDP? Hapana! Ni kwa ajili ya hiko chama ambacho wewe unasema kiko ICU!

CHADEMA ndicho kinacho - run TANZANIA, kubali au kataa, lakini keep this in mind!
 
Chadema hakifi leo wala mtondo goooo kwa sisi tunaozunguka hadi vijijini ambako sasa wana umeme wa REA huwadanganyi kitu na wanakwambia kweli Chadema wana akili
Unaongelea vijiji vipi hivyo, unaongelea wananchi kutazama TV? Ila umesahau hao wananchi wanaishukuru serikali sasa wanatizama TV
 
Tetetee ccm inapumulia polisi na leo kidogo maadhimisho ya jwt yakaongezea. Bye bye ccm
 
kwenda zako huko ungekuwa umesoma nje ungeshabikia chama kile kinachoogopa majukwaa ya kisiasa kujibu hoja kinzani za wapinzani
Kwa ujinga wako hujui kuwa China na Korea Kaskazini nako ni nje!
 
Back
Top Bottom