kitendo cha kuwafanyisha wanajeshi usafi bila ya kupenda ni fedheha kwa jeshi, kweli Chadema waongoza nchi, hata teuzi mbalimbali za mh. mtukufu target ni kupambana na ChademaWanajeshi wangefanya usafi mitaani, kwa sababu ya chama kilichoko ICU?
Jeshi la polisi lingehamia barabarani kwa sababu la chama kilichoko ICU?
Ile marufuku ya SIASA ulidhani imewekwa kwa ajili ya TLP au UDP? Hapana! Ni kwa ajili ya hiko chama ambacho wewe unasema kiko ICU!
CHADEMA ndicho kinacho - run TANZANIA, kubali au kataa, lakini keep this in mind!