Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Mkuu kuna mashavu nini? TushtuaneOkay
Mkuu kuna mashavu nini? TushtuaneOkay
wabongo wanadhani kila kitu ni mishemishe.....Tz bado mno
OkayKuna scholarship ya Tokyo Japan hii hapa Master's Degree Programme | United Nations University Institute for Sustainability and Peace. Mwisho wa application ni April 30 yaani mwezi huu. Kozi hiyo pia imo kwenye syllabus. Kwa aliye na speed ya kuaply apitie fasta. Kazi kwenu na karibu kwenye maujanja ya kula hela za scholarship