and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,225
- 39,712
Ndoa tamu
jamaa anazungumzia muda huu inakusaidia vipi ?Nami PCM imeninufaisha sana. Vilevile Chuo nilichosoma jamaa wengi walikuwa hawajui Maths basi nilikuwa nawaburuza ni balaa. Wakiniona lazima wanisalimie kwa heshima. Mademu ndio ilikuwa balaa walikuwa wanatamani hata kunibeba mgongoni. Kimsingi nilitusua sana Mazee!
saaana, ukiijua kuitumia.Ndoa tamu
Ulisijamaa anazungumzia muda huu inakusaidia vipi ?
ChaiiiUnapelekeshwa na form 2 failure
Maisha yanakwenda kimahesabu zaidiMathematicians
Hata JPM alisoma PCM ,Ila ndoa ilimsumbua sana.Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa? Au unapelekeshwa Kama boya?
View attachment 2232346
View attachment 2232349