Mliosema hang'oki mbona kang'oka?

Mliosema hang'oki mbona kang'oka?

Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.

Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.

Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.

Huyo JK si afadhali ya singasinga? Mbona anaingizwa mini kila siku na matapeli? Unamuona mwamba kwa lipi? Serikali inaingizwa mjini kilauchao juzi kaingizwa mkenge na mwekezaji wa treni ya kasi kamshobokea kumbe mhuni tu....

Ni JK aliyeufanya urais wa TZ uwe rahisi Sana.
 
Lulu gani huyu mwinzi mwenzako tanzania haijawahi kuwa na waziri mwenye kipaji cha kuongea uwongo kama huyu mumeo nakuonea huruma sana sijui utakula wapi tena mwehu wewe.
 
Huyo JK si afadhali ya singasinga? Mbona anaingizwa mini kila siku na matapeli? Unamuona mwamba kwa lipi? Serikali inaingizwa mjini kilauchao juzi kaingizwa mkenge na mwekezaji wa treni ya kasi kamshobokea kumbe mhuni tu....

Ni JK aliyeufanya urais wa TZ uwe rahisi Sana.

Ni Rais pekee na wa kwanza Tanzania hii ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.
 
Kwa wale wote mnaofikiri prof Muhongo is innocent, kweli inawezekana Mengi ameshiriki kumchafua prof Muhongo lakini hiyo haimaanishi kuwa prof Muhongo hana hatia. Wizi si lazima wewe uwe front line, hata ukisaidi au kumficha mwizi (abetting) pia nawe utakuwa mwizi tu. Hata kama utakuwa na akili nyingi kama Albert Einstein au una pesa kama Bill gate ukikutwa na hatia lazima uhukumiwe. This is very simple nashangaa mijuti bado inaongea kwa feelings na emotions badala ya kufuata logic na common sense. Sometimes naona nchi hii haiwezi endelea kwa kasi kwa sababu imejaza mijitu mbumbumbu mingi sana kama Faiza Foxy. very dissapointing
Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.

Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.

Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.
 
Ni Rais pekee na wa kwanza Tanzania hii ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.

Mbona mengine hujajibu?

JK ndiye most pathetic president Tanzania haijawahi kupata.....

Hivi mtu uliyekabidhiwa dhamana ya kulinda rasilimali za nchi unajirahisisha kwa wevi na wanyang'anyi?

Vibaka wanaingia ikulu Kama sokoni akina Singh Seth wa PAP walikwenda chota mapesa baada tu yakuonana na akina JK halafu huyo huyo JK anakuja kukiri hadharani serikali haina hakika juu ya uhalali Wa PAP kununua hisa za MECHMAR!!!!

JK ameufanya urais wa TZ uwe rahisi Sana.....
 
Ni Rais pekee na wa kwanza Tanzania hii ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.

Bora walioingizwa na Nyerere kwenye urais kuliko yeye aliyeingizwa na mafisadi na matapeli waliokuwa wana mtandao wake....
 
  • Thanks
Reactions: 999
Nawapa pole sana vibaraka na mahawara za prof muongoo..mwizi. Dalali mkuu.mwizi wetu kaufyata...kashindwa kuweka palinge na mwenyekiti wetu.na bado tutahakikisha anafanya kazi ya kuuza mkaa mjini hapa.

Hahahahahaaaaa Mpwa leo Jumapili ujue
 
Bora walioingizwa na Nyerere kwenye urais kuliko yeye aliyeingizwa na mafisadi na matapeli waliokuwa wana mtandao wake....

Huyo katokea kwenye familia ya kichifu, kaongoza shule kama mwanafunzi, kaongoza chuo kikuu kama mwaanafunzi, kaongoza na kafundisha Jeshini kama Luteni, kafanya kazi za chama na Serikali umri wake wote, kawa waziri wa wizara mbali mbali kabla hajagombea Urais. Kashinda mara ya kwanza Nyerere akamuwekea kauzibe, kashinda mara ya pili licha ya Mkapa kutaka SAS apite, akamshinda Urais mpinzani wake mkuu, Mbowe, kwa kishindo na wakati wa kampeni Kanisa Katoliki kupitia kwa askofu Kilaini likanadi kuwa huyo ni "chaguo la Mungu".
 
Huyo katoka kwenye familia ya kichifu, kaongoza shule kama mwanafunzi, kaongoza chuo kikuu kama mwaanafunzi, kaongoza na kafundisha Jeshini kama Luteni, kafanya kazi za chama na Serikali umri wake wote, kawa waziri wa wizara mbali mbali kabla hajagombea Urais. Kashinda mara ya kwanza Nyerere akamuwekea kauzibe, kashinda mara ya pili licha ya Mkapa kuta SAS apite, akamshinda Urais mpinza wake kwa mkuu kwa kishindo na wakati wa kampeni Kanisa Katoliki kupitia kwa askofu Kilaini, likanadi kuwa huyo ni "chaguo la Mungu".

JK aliingizwa madarakani na mtandao Wa wahuni na mafisadi ndio maana tangu aingie amekuwa na serikali dhaifu na iliyodorora Sana kwakuzungukwa na watu duni...

Ndio maana hadi vibaka wanamtapeli
 
  • Thanks
Reactions: 999
Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.

Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.

Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.

ulikuja hapa na kujitapa, sasa vichwa vitatu kwishnehi

Its not about MEngi, it is called accountability, kama simbachananihii atakua serious basi atafanikiwa, ila akiwa goigoi basi naye ajiandae
 
Mkuu, naona hii imekaa personal zaidi, mulishawahi kuchukuliana madem nini? Anyway, siasa za Bongo ni ngumu sana

Personal kivipi ?aliposema wabongo wanachoweza ni kuuza juice we hukuwepo, au wewe ni mburundi
 
Nawapa pole sana vibaraka na mahawara za prof muongoo..mwizi. Dalali mkuu.mwizi wetu kaufyata...kashindwa kuweka palinge na mwenyekiti wetu.na bado tutahakikisha anafanya kazi ya kuuza mkaa mjini hapa.

Hiyo palinge umenikumbusha mbali hahahaaaa
 
kwanza alishalalamikia hadharani kutaka upendeleo (free lunch)kitalu cha gesi na muhongo alishahoji huyu mtu anavitalu 52 vya madini bado hatosheki tu? watu wanaopewa vipaumbele ITV ndo walikuwa mstari wa mbele kumshambulia muhongo e.gMbatia Kafulila Lembeli kwa namna nyingine walikuwa wanalipa fadhila ya mfadhili wao.

Haya sawa kwa hiyo hii ndio imemfanya ajiuzulu ? We sio mzima
 
Wala usisumbuke wakupe reasons hawa ignorants. Watu waliomtetea Muhongo wamejawa na emotions tu. Wanafikiri kuwa hata kama Muhongo akitenda kosa asichukuliwe hutua kisa ana ugomvi na mengi. very primitive thinking

Usihangaike na hao domokaya, debe tupu haliwachi kutika! Waache wapige domo, halimnyimi Mengi usingizi, Muongo ameshatinduliwa inatosha, that was the critical agenda, hawa wengine are inconsequential; wanaompenda Sana Muongo wakaogelee nae huko ufukweni akatulize ubongo wake wa miamba na vumbi wakati akijipanga hatua yake ifuatayo. Sisi tumeshamalizana nae!
 
JK aliingizwa madarakani na mtandao Wa wahuni na mafisadi ndio maana tangu aingie amekuwa na serikali dhaifu na iliyodorora Sana kwakuzungukwa na watu duni...

Ndio maana hadi vibaka wanamtapeli

Baba yako yule katibu mkuu mstaafu nae alikuwa ni mwizi na fisadi mzuri tu
 
Watanzania mlio wachache mnashangaza sana.

Hivi mnafurahia lulu ile kuondoka katika uongozi? amma kwa hakika tuna safari ndefu ya kwenda.

Na Mengi asifikiri Simbachewene ndiyo ata bow down. Maawe! labda Rais si Kikwete.

Umeanza kujiweka kwa rais Kikwete tena, achana na mambo yako ya kutaka sifa bure bwana yako katimuliwa basi sio eti simbachawene oooooo kikwete nini?
 
Back
Top Bottom