fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
mkuu weka ID zao hapa hawa wenye mtindio wa ubongo na wachumia tumbo ambao walilipwa na kupewa laptop eti wavamie JF, JF haivamiwi kwa husda la hasha hata kidogo, njoo na maona kwa taifa itasaidia sio na njaa za laptop na pesa ya juisi unajifaytua akili. aibu yao.