Mliopo kwenye ndoa !!

Unamuacha haraka sanaaaa hafu unaoa mwingine
 
Kwa mtazamo huu, wewe ni mtalaka mtarajiwa.
 
Jamaniiii matola wetu jamaniii hata kutualika hakuna,ujue matola tumetoka mbalio sieee
Nimeingia Mwanza punde, karibu Diamond nitakula hapo msosi wa usiku.

Ooo utakuwepo mpaka lini ,mi nipo kahama mara moja ila kesho kutwa ntakua Mwanza,upo na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…