Acha mambo ya media, hao amani wamefikia umri lakini hawajaoa, wanashida zao, oa au olewa tunza familia, ndoa inachangamoto na pia ubachela unachangamoto pia. Utafanya, ufska mpaka lini? Babako na mamako hawaishi pamoja?duh jumapili hii nilikua nikatangaze ndoa kanisani .kama ndo hivi ngoja nibaki na ubachelor wangu tu .hakuna namna
Karibu uchukue fomu.kutangaza nia sio kushinda.wengi tu wanatangaza nia lakini wanashidwa kwenye mchujo
Huwezi kufananisha kuwa single na kuwa katika ndoa. Ni kama kufananisha mbingu na ardhi.Kuwa single raha unajiamulia unachotaka,ukiwa ndoani ni kama kifungo hivii,, halaf muishi eti miaka yote hee je mkichokana inakuwajee maana sie ni binadam sio malaika
Khaaaaaaaa. Best unazingua. Hobby ya kuoa??Bado sijajipima vyema! lakini nahisi nina hobi hiyo.
Kuwa single ni Sawa ila itakuwa single daima? huwa mnafikiri khs uzee? huwa unafikiri kuhusu kuumwa? na je vp khs familia?unachokichuma Sasa Ni Nani atakuja kusimamia pindi unapoumwa,au unapozeeka? Pia tuache kujipa moyo japo huenda wengine tuliachwa kwa ujinga wetu....ndoa ndio maisha na changamoto zilizomo Ni kawaida tu,huwezi kuishi ukiwa pekee hata mwili wako unakataa.Hzo picha zisikudanganye Mkuu,Hzo Ni ideas za walioachwa ktk ndoa na huo Ndo mwisho wa akili zao.Picha Hzo Ni mfano mfu na kama wazazi wako wangeziona na kuzingatia picha Hzo sidhani kama Leo ungekuwepo.
Kama bado hujaolewa ni vizuri ukiolewa na rafiki yako wa muda mrefu wa kiume tena usiogope mwambie wewe tu unampenda awe mume wako basi.Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
Very true bro.Kama bado hujaolewa ni vizuri ukiolewa na rafiki yako wa muda mrefu wa kiume tena usiogope mwambie wewe tu unampenda awe mume wako basi.
Matatizo makubwa ya ndoa za sasa hazikuunganishwa na upendo tangu awali, ndio maana hata huko Facebook mke wa mtu kila siku atajibinulisha matako lakini hakuna siku utamuona kaweka picha na husband wake wapo kwenye pozi.
Ndoa za mwendokasi hizi za kutowa nuksi ni shida tupu zikidumu sana ni miaka mitatu, na kile kilichowaunganisha (pesa) kikipotea na penzi linapotea.
hahahahaha........ndio hivyo best nahisi km nina hobby hiyo honKhaaaaaaaa. Best unazingua. Hobby ya kuoa??
Heeeee. Umeoa mara ngapi??hahahahaha........ndio hivyo best nahisi km nina hobby hiyo hon
Hiyo sio point mkuu. Ninachokichuma anaweza kukisimamia mtoto wangu. Kumbuka naweza kuwa na mtoto bila mke.Kuwa single ni Sawa ila itakuwa single daima? huwa mnafikiri khs uzee? huwa unafikiri kuhusu kuumwa? na je vp khs familia?unachokichuma Sasa Ni Nani atakuja kusimamia pindi unapoumwa,au unapozeeka? Pia tuache kujipa moyo japo huenda wengine tuliachwa kwa ujinga wetu....ndoa ndio maisha na changamoto zilizomo Ni kawaida tu,huwezi kuishi ukiwa pekee hata mwili wako unakataa.Hzo picha zisikudanganye Mkuu,Hzo Ni ideas za walioachwa ktk ndoa na huo Ndo mwisho wa akili zao.Picha Hzo Ni mfano mfu na kama wazazi wako wangeziona na kuzingatia picha Hzo sidhani kama Leo ungekuwepo.
Kuwa single ni Sawa ila itakuwa single daima? huwa mnafikiri khs uzee? huwa unafikiri kuhusu kuumwa? na je vp khs familia?unachokichuma Sasa Ni Nani atakuja kusimamia pindi unapoumwa,au unapozeeka? Pia tuache kujipa moyo japo huenda wengine tuliachwa kwa ujinga wetu....ndoa ndio maisha na changamoto zilizomo Ni kawaida tu,huwezi kuishi ukiwa pekee hata mwili wako unakataa.Hzo picha zisikudanganye Mkuu,Hzo Ni ideas za walioachwa ktk ndoa na huo Ndo mwisho wa akili zao.Picha Hzo Ni mfano mfu na kama wazazi wako wangeziona na kuzingatia picha Hzo sidhani kama Leo ungekuwepo.
Asante kwa ushauriii matolaKama bado hujaolewa ni vizuri ukiolewa na rafiki yako wa muda mrefu wa kiume tena usiogope mwambie wewe tu unampenda awe mume wako basi.
Matatizo makubwa ya ndoa za sasa hazikuunganishwa na upendo tangu awali, ndio maana hata huko Facebook mke wa mtu kila siku atajibinulisha matako lakini hakuna siku utamuona kaweka picha na husband wake wapo kwenye pozi.
Ndoa za mwendokasi hizi za kutowa nuksi ni shida tupu zikidumu sana ni miaka mitatu, na kile kilichowaunganisha (pesa) kikipotea na penzi linapotea.
Ushauri mzuri huuHuwezi kufananisha kuwa single na kuwa katika ndoa. Ni kama kufananisha mbingu na ardhi.
Usiseme kuchokana, sema kuzoweana.
Kumbuka kwenye ndoa kuna watoto and believe me ukishapata mtoti/watoto ndo unaanza kuishi. Maisha yako yanakuwa na maana sasa.
Everything you do, you do it for your kids. Furaha inaongezeka, kuchokana tupa kuleeee.
Acha uoga.
Hahahaha......hata mimi mwenyewe bado sijitambui! huraaaaa....!Heeeee. Umeoa mara ngapi??
Hao nao walikosea bana, hawakujiuliza kwanini refa anaingia uwanjani na kadi nyekundu.....
Sasa kama humpendi utamvumilia kweli???Kuheshimia na kuvumiliana ndiyo ndoa.
Upendo sio ndoa.