Mliopo kwenye ndoa !!

Mliopo kwenye ndoa !!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,284
Hey mambo;!!
Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa?
Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo?

Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale mwenyewe?
Mnawezaje kuishi wote kwa muda mrefu maana kuna muda unatakiwa uwe na marafiki zako
ndugu wa mume /mke unakabiliana nao vipi ?

Mi naona kama ndoa ni ngumu hiviii halaf unakuwa haupo huru
Hebu tupeni mawili matatu ili nasi tushawishike japo tunuse ndoa maana naona kuishi mwenyewe ni raha unajiamulia unavyotaka au sio
 
Conversation is best but communication is key.

After all my love is bank alert .

Jigoooooooo
 
IMG-20161216-WA0045.jpg

IMG-20161216-WA0043.jpg

IMG-20161216-WA0041.jpg

Hiyo ndio hali halisi 😀😀
 
Challenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
 
Challenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
 
Challenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
Duh hii kweli tupu...kwa nini mnatufanyia hivi lakini?
 
mimi nadhani kama ikitokea nikaolewa nitakuwa na chumba changu na huyo babe cha kwake kwanza vitu vitakuwa vingi humo chumbani .saa ingine mtu unaitaji space eti !
 
Back
Top Bottom