Mliopo Arusha Nisaidieni Mwenzenu

Nero

Member
Apr 24, 2012
93
21
Wanajamii Forum mliopo mjini Arusha naulizia ni hospitali gani hususan ya private wanatoa huduma nzuri kwa watu wenye matatizo ya uzazi 4 both me&ke. Msaada tafadhali.
 
Ndiyo naingia Arusha mjini nina mgonjwa yupo serious nisaidieni jamani. Au mliopo A town wote mmelala?
 
Kama ni uzazi usiende kokote nenda ST. Thomas...kama ni uzazi narudia tena...maradhi mengineyo nenda selian ya mjini.
 
Kama ni uzazi nenda AICC hosp au Seliani kama alivyokushauri PakaJimmy,usithubutu kwenda St Thomas.(Mostly after money)
 
Nenda kwa Dr Wanjara. Alikuwaga specialist wa wanawake kwa maswala ya kizazi. Kwa sasa sijui kama yupo au vipi manake sijaona kama kuna aliyempendekeza. Jaribu na huko.
 
Dr Msuya wa St Thomas naye nasikia ni kiboko yao. Anapandikiza mbegu iwapo mama hapati mimba. Jaribu na huko.
 
Nenda AICC au LMC-Selian ya Mjini, ndizo hospital za kuaminika za Private kwa Arusha.
All in all, Poleni kwa shida inayowakabili.

hapo selian ni hovyo-ni jengo tu...labda st.Thomas kidogp mkuu
 
hapo selian ni hovyo-ni jengo tu...labda st.Thomas kidogp mkuu

Yah Selian ni majengo mazuri tu hamna madaktari, Kama ni uzazi nenda St. Thomas ila Kama anataka kujifungua lazima afanyiwe operation wako kipesa zaidi ila anaweza kwenda kwa dr. Wanjara mianzini au kwa Dr. Mohamedi tanki la maji
 
Back
Top Bottom