Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,598
- 5,187
Wadau za Jamii Forum,
Natumaini mu wazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku .
Baada ya mchakato mrefu wa usaili hatimaye nimekuwa miongoni mwa watu 100 Tuliochaguliwa kujiunga na jeshi la kujenga taifa na nimepangwa kambi tajwa hapo juu, kama kuna mwana jamii mwingne aliyepangwa kambi hiyo au aliyekwsha pitia kambi hiyo atujuze detailz za kambi hiyo