G
guest-1790917349
Guest
[emoji23][emoji23]duh hapana,naogopa nikikaa Kwenye hiyo nafasi atasahau ndoa bure!Itakuwa unamfariji sana huyo 'rafiki' yako.!
Apambane tu na hali yake
[emoji23][emoji23]duh hapana,naogopa nikikaa Kwenye hiyo nafasi atasahau ndoa bure!Itakuwa unamfariji sana huyo 'rafiki' yako.!
Kwa Akili hizi Ndoa yako haifikishi MwakaSitaki kuamini
Hivi mliooa munaupata wapi ujasiri huu wa kulala usiku mzima bila ya kuliamsha dude
Polee sanaa mkuu....ayaaa mambo yasikie tu usiombe yakupate,na yakikupata yasikupate uzeeniHuo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda.
Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa.
Na nje ukiwaona unatamani uwe kama wao hv...Na zinaenda
How comes?!!!si muachane kuliko huo unaafiki broh?!!!why?!!!Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda.
Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa.