Mliomwunga mkono Lowassa, mko wapi??? Acheni unafiki!!!!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Kwenu,

1) Wenyeviti 15 wa ccm mliojitokeza hadharani, mmekalia kuti kavu, changamkeni sasa, mtakatwa tuuu!!

2) Nyie Wachungaji na mashehe mliomtembelea nyumbani kwake eti kumshauri atangaze NIA, mko wapi? Mbona mmemwacha peke yakee kipindi hiki? Rudini mkampe maombi ya faraja!! Acheni unafiki....

3) waendesha bodaboda, mama Lishe, baba Lishe, watu wa vicoba, nanyi mko wapi?! Mbona hamna Shukrani? Mzee mmemwacha peke yakee?! Anahitaji faraja yenu, Acheni unafiki!!!

4) Nyie wote laki8 (800,000) mliomdhamini, Mbona mko kimyaaaa?! Hamna Shukrani wala neno lake matumaini kwake kipindi hichi kigumu kwake? Hamwezi kuwa wanafiki kiasi hichi??!

Akufaaaye wakati wa dhiki ndio Rafiki wa Kweli!!!!!
 
kimya chao chaweza kuwa ni jibu tosha.
tutulie, bado picha linaendelea ndg zangu.
 
Kama ulitazama AZAM TV taarifa ya habari jana vijana waliokuwa wanamsapoti Lowasa wametangaza rasmi kuipigia kura UKAWA na kuachana na CCM oktoba 2015 kutokana na kile walichokiita ubaguzi wa kisiasa kwa mpendwa wao Lowasa kukatwa.
 
Direction is more important than speed. We are so busy looking at our speedometers that we forget the milestone.

TAARTIIIBU ILA KWA UHAKIKA!

Makada hakuna anayeshawishi watu kwenda CDM ni hasira tu na watu ni kama wanalipa kisasi. Makada waacheni wanaotaka kuwa ccm au UKAWA, 4U si chama lakin kina wanachama wa vyama mbalimbali. Mjue pia tunatofautiana kwa maauzi na uwezo wa kutulia kabla ya kufanya jambo. Kuna watuni first oriented kila jambo anataka awe wa kwanza tena wamuone. Ni njema kwake huyo lakini wapo ambao hupiga hesabu saa na kupima upepo ndo waamue, hao pia msiwaone wanachelewa. Kuna wanaoamua lakini kusema wanachelea, hao nao tunso. Nawaomba watu wangu itikaditunazo toka awali lakini mwelekeo wetu hadi sasa ni PUSH EDO INTO MAGOGONI kama anasimama lazima wawepo wa kumsukuma. Hakuna aliyemchafua EDO kama CCM lakini mbona bado yumo humo? Msimamo wa SLAA kwa EDO ulikuwa wa kisiasa na si wa dhati, SLAA hakuwa na kosa siasa zilimtuma na CCM hawana makosa siasa zawatuma, sisi tutende kwa dhati popote tulipo tuonyeshe kuwa OUR HERO IS THE NATIONAL HERO watatujua tu with time watatukubali. You are born a Tanzanian before you are a partisan somewhere do Tanzanian responsibilities responsibly utaona wanaulizana kwani huyu jamaa chama gani? Hapo sasa ndo utasema UKAWA AU CCM! LOVE YOU ALL MA FIGHTERS!
 
watanzania ni kama:usa2: wewe subiri kidogo tu upepo ukivuma
 
Tupo chadema tunaimba nyimbo za ukombozi, wewe unataka nini?
 
Wafuasi wa Lowassa hawezi wakasimama wakati Goliati wao kauawa.
 
Naomba mniwekee mambo matano ( with evidence) ambayo Mh Lowasa aliyafanya ya kuliongezea tija/sifa/faida taifa hili.
 
alipo Lowasa tupo.

Direction is more important than speed. We are so busy looking at our speedometers that we forget the milestone.

TAARTIIIBU ILA KWA UHAKIKA!

Makada hakuna anayeshawishi watu kwenda CDM ni hasira tu na watu ni kama wanalipa kisasi. Makada waacheni wanaotaka kuwa ccm au UKAWA, 4U si chama lakin kina wanachama wa vyama mbalimbali. Mjue pia tunatofautiana kwa maauzi na uwezo wa kutulia kabla ya kufanya jambo. Kuna watuni first oriented kila jambo anataka awe wa kwanza tena wamuone. Ni njema kwake huyo lakini wapo ambao hupiga hesabu saa na kupima upepo ndo waamue, hao pia msiwaone wanachelewa. Kuna wanaoamua lakini kusema wanachelea, hao nao tunso. Nawaomba watu wangu itikaditunazo toka awali lakini mwelekeo wetu hadi sasa ni PUSH EDO INTO MAGOGONI kama anasimama lazima wawepo wa kumsukuma. Hakuna aliyemchafua EDO kama CCM lakini mbona bado yumo humo? Msimamo wa SLAA kwa EDO ulikuwa wa kisiasa na si wa dhati, SLAA hakuwa na kosa siasa zilimtuma na CCM hawana makosa siasa zawatuma, sisi tutende kwa dhati popote tulipo tuonyeshe kuwa OUR HERO IS THE NATIONAL HERO watatujua tu with time watatukubali. You are born a Tanzanian before you are a partisan somewhere do Tanzanian responsibilities responsibly utaona wanaulizana kwani huyu jamaa chama gani? Hapo sasa ndo utasema UKAWA AU CCM! LOVE YOU ALL MA FIGHTERS!
 
Kwani ww ulikuwa mshabiki wa magufuli au bendera fuata upepo
 
Kwenu,

1) Wenyeviti 15 wa ccm mliojitokeza hadharani, mmekalia kuti kavu, changamkeni sasa, mtakatwa tuuu!!

2) Nyie Wachungaji na mashehe mliomtembelea nyumbani kwake eti kumshauri atangaze NIA, mko wapi? Mbona mmemwacha peke yakee kipindi hiki? Rudini mkampe maombi ya faraja!! Acheni unafiki....

3) waendesha bodaboda, mama Lishe, baba Lishe, watu wa vicoba, nanyi mko wapi?! Mbona hamna Shukrani? Mzee mmemwacha peke yakee?! Anahitaji faraja yenu, Acheni unafiki!!!

4) Nyie wote laki8 (800,000) mliomdhamini, Mbona mko kimyaaaa?! Hamna Shukrani wala neno lake matumaini kwake kipindi hichi kigumu kwake? Hamwezi kuwa wanafiki kiasi hichi??!

Akufaaaye wakati wa dhiki ndio Rafiki wa Kweli!!!!!

ana cash?
 
CCM inaweza kusaidiwa kupumzika lakini sio kwa Chadema kumsimamisha Lowassa. Kama kweli Lowasa anataka mabadiliko inabidi abaki CCM halafu awavuruge akiwa huko huko huku Chadema ikisonga mbele sio kwa yeye kuhama akifanya hivo CCM itachukua point za mezani za kuwafukuza wezi jambo ambalo sio kweli
 
Wakoooo, wanasubiria SAUTI YA MFALME WA SAFARI YA MATUMAINI...

Mfalme atawatangazia soon anaenda Chadema, Ukawa, ndio hapo utawaona WAFUASI WAKE WAKIMFUATA KAMA NYUKI... hutaamini ukombozi wa Lowassa + ukawa... subiria, Lowassa si mtu wa kukurupuka, soon utasikia ..
 
Kwenu,

1) Wenyeviti 15 wa ccm mliojitokeza hadharani, mmekalia kuti kavu, changamkeni sasa, mtakatwa tuuu!!

2) Nyie Wachungaji na mashehe mliomtembelea nyumbani kwake eti kumshauri atangaze NIA, mko wapi? Mbona mmemwacha peke yakee kipindi hiki? Rudini mkampe maombi ya faraja!! Acheni unafiki....

3) waendesha bodaboda, mama Lishe, baba Lishe, watu wa vicoba, nanyi mko wapi?! Mbona hamna Shukrani? Mzee mmemwacha peke yakee?! Anahitaji faraja yenu, Acheni unafiki!!!

4) Nyie wote laki8 (800,000) mliomdhamini, Mbona mko kimyaaaa?! Hamna Shukrani wala neno lake matumaini kwake kipindi hichi kigumu kwake? Hamwezi kuwa wanafiki kiasi hichi??!

Akufaaaye wakati wa dhiki ndio Rafiki wa Kweli!!!!!

Na wale wabunge 150 wako wapi, changamkeni kwani nanyi mtakatwa tu.
 
Mkuu wanasubiria walipwe kwanza kiinua mgongo
SINA IMANI NA UKAWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom