Mliokwisha omba NACTE msiombe upya mtaliwa

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
508
367
Nilikuwa ninaaply tena kwa mdogo wangu ambaye alikosa selections zilizopita
Nimeambiwa namba ya mtihani ilikwishatumika tayari
Subirini mpaka mfumo utakaporuhusu
Nashindwa ku upload picha

IMG_20170919_222203[1].jpg
 
nilikuwa ninaaply tena kwa mdogo wangu ambaye alikosa selections zilizopita
Nimeambiwa namba ya mtihani ilikwishatumika tyr
Subirini mpk mfumo utakaporuhusu
nashindwa ku upload kaicha
imenikuta hata mm mkuu kwani pesa ndo tumeliwa au?
 
imenikuta hata mm mkuu kwani pesa ndo tumeliwa au?
Hapo tumeliwa mkuu
niliwahi fanta hivi mwezi wa 7 ilikuwa 30k. Nilipiga simu mpk nikachoka coz voda walisema niwasiliane Nacte ili wanirudishie lkn wapi!!!
 
nilikuwa ninaaply tena kwa mdogo wangu ambaye alikosa selections zilizopita
Nimeambiwa namba ya mtihani ilikwishatumika tyr
Subirini mpk mfumo utakaporuhusu
nashindwa ku upload kaicha
Duh.. Bora umenisanua mkuu shukrani
 
nilikuwa ninaaply tena kwa mdogo wangu ambaye alikosa selections zilizopita
Nimeambiwa namba ya mtihani ilikwishatumika tyr
Subirini mpk mfumo utakaporuhusu
nashindwa ku upload kaicha
Tangazo lao la Leo tar 20 linasema utarekebisha kwenye machaguo yako uliyofanya kwa kuweka fani/kada na chuo chenye nafasi na wamesema vyuo vilivyopata wanafunzi wa kutosha havitaonekana hawamu hii
 
Back
Top Bottom