Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 543
Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti.
Na hili linathibitishwa zaidi maana watu wakienda hospitali kudai maiti zao-maitti hakuna! Yaani hospitgali ziko nyeupe! Hatuna motuary za kuweka maiti wenggi wengi na hii, hivyo hii haya ndio yanakuwa maelezo yanayomake sense.
Mazishi haya yanafanyika humu humu nchini, somewhere kutakuwa kuna mtu anashuhudia haya yakitekelezwa, kwa tuliokuwa kwenye maeneo haya tushee picha na video kuonyesha ulimwengu yanayofanyika kuzima ukweli wa kilichofanyika.