Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
waombe toba Mungu atafixMungu hawezi wakumbuka hawakumshirikisha .wabebe misalaba Yao tu
Mungu atasemhe tu lakini msalaba wataubeba wenyewe .waombe toba Mungu atafix
ahahaha 😂 😂Mungu atasemhe tu lakini msalaba wataubeba wenyewe .
ahahaha.Kabla hawajaja kulia hapa, mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa naita vijana wangu wapige spana adimu.
Kataa ndoa linda maisha yako.
Liverpool VPN, Xi Jinping, Natafuta Ajira
unamkatiaje tamaa binadamu mwenye miguu miwiliUkishindwana na mtu ni bora kuachana huyo sio mama au baba yako mzazi.
unaambiwa alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe, ni kifo tu kitawatenganisha. Kama walifunga ndoa kanisani wataishi kwenye kiapo hiyo. Ila kama waliokotana mitaani njoo tuishi, mkishindwana ni bora muachane tu kwa amani kila mmoja ashike hamsini zake akatafute mwingine wanayeelewanaUkishindwana na mtu ni bora kuachana huyo sio mama au baba yako mzazi.