Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,293
- 79,686
Kuna rafiki yangu anatoka na msichana anayetakiwa kuolewa mwezi wa 12 mwaka huu.
Kuna jamaa alinipora F, baada ya kumuoa, wiki mbele F akaja gheto nikaweka huku akiimba "Una ub00 mkubwa yule anazingua" funny thing is sina ub00 mkubwa. So alikua ananiactia hadi mchepuko.
Kuna binti nilitoka naye tukiwa shule, tukakutana chuo akiwa kashaolewa, kiporo kikapashwa.
Kuna binti aliolewa ili kumtia machungu bwana ake sasa hivi anamfata fata kiporo kipashwe.
Na nyuzi kibao za jf juu ya watu kula wake za watu na wake kujiachia na waume za watu.
Unataka somo gani tena?
Mi kuoa kunanikata stimu vibaya, plus wakiwa wanawaponda wame zao utaona huruma.