Mlioko mikoani hembu tujuze

Mlioko mikoani hembu tujuze

lyinga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
2,494
Reaction score
1,057
Merry christmas wapendwa mlioko mikoani mtujuze mlivyosheherekea huko tushiriki pamoja mwageni mapicha hapa ya kanisani , kwa wale wachinja ndafu machalari mbege nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki
 
Siyo wote wanasheherekea,wengine tupo kazini hatuna habari na hivyo visikukuu vyenu
 
Wakikupa habari ya jinsi walivyosheherekea wewe ITAKUSAIDIA NINI?KWANZA HAIKUHUSU KM HAUKUANDAA YA KWAKO NI WEHU WAKO PEKE YAKO NA KANISAN HATUEND KUPIGA PICHA BUT TUNAENDA KUMUOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU.!
 
Dah wameiona njema, magitaa kwenda mbele, vinanda..,

nimemis nyimbo zinazofuata nota (music note)
 
Nenda kwa joice kiria kaandaa maji ya kunywa, anabatiza watoto anabariki ndoa na pia ni siku yake ya kuzaliwa.
 
Mtimbichi mwacheni dada wa watu ale vya kwake kwani hujaalikwa mkuu
 
Merry christmas wapendwa mlioko mikoani mtujuze mlivyosheherekea huko tushiriki pamoja mwageni mapicha hapa ya kanisani , kwa wale wachinja ndafu machalari mbege nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki

safi. walioko mikoani hasa katika mkoa wa dar e salam wangetuwekea picha tunakona.
 
Back
Top Bottom