Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

Mshahara ni wangu usinilazimishe nisijue haki yangu,ooh usitegemee mshahara,tusipokuwepo makazini mnapiga kelele wanafiki wakubwa nyie.Tumewapa watu wasimamie miradi tumeishia kupigwa,ukimuamini ndugu ndio kabisa umeliwa
 
Hiki kiwango ni kilekile tangu 2015,inawezekanaje kiendelee kubaki hivyo hivyo?.
 
Mshahara ni wangu usinilazimishe nisijue haki yangu,ooh usitegemee mshahara,tusipokuwepo makazini mnapiga kelele wanafiki wakubwa nyie.Tumewapa watu wasimamie miradi tumeishia kupigwa,ukimuamini ndugu ndio kabisa umeliwa

Mkuu umeongea kwa uchungu sana na hisia nyingi! Mtu unajikongoja unaenda kukopa zako ufungue kabiashara kako kakuingizie afu tatu unaona Ngoja nimuweke mtoto wa anko maana nae Hana mbele wala nyuma badala mawazo yenu yawe perpendicular yeye anawaza kukupiga hadi kabiashara kanakufa na ukiweka mtu baki nae mawazo yake akuibie tu kwa notions Wewe si mtumishi utaenda kukopa tu.

Ifike muda watumishi walipwe vizuri na serikali kutokana na elimu zao ili waconcentrate na kazi ili tija ionekane na sio kila mtumishi awaze kujiajiri na side hustle ili kusogeza siku ! Shame
 
Watumishi tupambane kutafuta vyanzo vipya vya mapato.mishahara ni utopolo
Mama yangu alikua na mawazo kama yako,yupo kazini na kuwekeza,amepoteza 20,000,000 miradi usimamie mwenyewe.
Mda wote uonekane kazini,wananchi ni wanoko usipime,ukitaka acha kazi kama unazani unataka utajiri
 
Mkuu mi nafanya real estate nlijaribu biashara zikanishinda so najenga nyumba tu. Once nikistafu zitanisaidia kusomesha machalii na kuongezea kwenye penshen. Kiinua mgongo changu ni kwa ajili ya kushugulikia a fya yangu tu sitachomoa hata chapa, kikitoka tu nakipeleka utt chote. Nikisikia tu kwaaa nakwea pipa india kutibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…