Mliojenga shikeni Maua yenu!

Hongera sana kwa Vijana wenzetu mliothubutu kumiliki hata Viwanja maeneo lulu kama Dodoma, Dar, Arusha na Mwanza. Ni mwanzo mzuri pambaneni mjenge sasa. Nyumba ni mwanzo mzuri wa kijana mwenye maono na akili ya kuwa na familia bora. Kazi iendelee
 
Pesa ya emergency lazima na wanashauri pia ukipata mtu makini kuna nyumba ya kawaida na gorofa ... Kweny gorofa unaweza kuweka pesa ya emergency hata zaidi ya mil 30 kwa wale waonfanya ujenzi wa moja kwa moja ili kumaliza.

Mara nyingi inaweza isitumike kabisa.
Duuh!sawa mkuu.
 
Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na yaliyopo field ni tofauti kwa sana.Matofali sawa,cementi sawa,mchanga sawa,lakini unakutana na gharama zingine ambazo hata hukuwaza kabisa!Kama vile kungoa visiki,mara wa kumwagilia,mara sururu,kuchimba msingi,ndoo cha kuchotea maji,kuchimba vyoo,kuweka mbao za kuweka renta na za kusimania na makorokoro kibao!Nawapa maua yenu wenye nyumba,punguzeni sasa kodi.
Nyumba ukiona imeisha kabisa na rangi na kila kitu,fahamu kuwa huyo mtu zimemtoka......
 
Hongera sana kwa Vijana wenzetu mliothubutu kumiliki hata Viwanja maeneo lulu kama Dodoma, Dar, Arusha na Mwanza. Ni mwanzo mzuri pambaneni mjenge sasa. Nyumba ni mwanzo mzuri wa kijana mwenye maono na akili ya kuwa na familia bora. Kazi iendelee
Ushauri mzuri na wewe pambana
 
Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na yaliyopo field ni tofauti kwa sana.Matofali sawa,cementi sawa,mchanga sawa,lakini unakutana na gharama zingine ambazo hata hukuwaza kabisa!Kama vile kungoa visiki,mara wa kumwagilia,mara sururu,kuchimba msingi,ndoo cha kuchotea maji,kuchimba vyoo,kuweka mbao za kuweka renta na za kusimania na makorokoro kibao!Nawapa maua yenu wenye nyumba,punguzeni sasa kodi.
Binafsi nayapokea maua yangu. Kujenga, hasa nyumba ya kushi (wastage of money) si kazi ndogo, maana unawekeza milioni 80 ama 100 kwa nyumba ambayo haikuingizii chochote. Kikubwa ninachoshauri ni kuekeza katika nyuma za biashara (rest house, hoteli, godowns au fremu za maduka).
 
Uwe na pakuishi pako!k
Hakika wanastahili sifa
Kweli kabisa!
 
Ila kuibiwa kupo sana
Yaani hakukisekani hata ukiwepo hawa fundi maiko ni wajanja kinoma!Leo hii nimepigwa mfuko wa cement nikiwa site na fundi maiko m!Anadai kachanganya mchanga kumbe kapitisha kwa nyuma Maua mnastahili wenye nyumba.Ndo maana za urithi ni tamu kuuza.
 
Back
Top Bottom