Mlioishi au kufahamu maisha ya Marekani mpo?

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
930
611
Habari za wakati huu wadau,

Naomba kuuliza hivi kwa mfano nikapata bahati ya kwenda kuishi Marekani aliyakuwa sina profesion yoyote ambayo itanifanya niajiriwe au kujiajiri je,ni kitu gani naweza nikafanya mbacho kitanifanya nipate mafanikio huko Ughaibuni?
 
Sijakuelewa,sasa unakwenda kufanya nini Marekani si bora hiyo nauli uwekweze kwenye biashara ndogo ndogo mpaka biashara yako ikue kisha upate pesa ya kwenda kutalii Marekani kama mtalii kulikoni ukaenda huna professional yoyote wala issue yoyote si unaweza kufanya mambo ambayo Mungu hapendi.
 
Ni kweli mkuu umemshauri vizuri, Kuna baadhi ya majimbo ile sheria hawapingi hapa juzi Kati Kuna mkenya mmoja alinanihii......!!!
 
Habari za wakati huu wadau,

Naomba kuuliza hivi kwa mfano nikapata bahati ya kwenda kuishi Marekani aliyakuwa sina profesion yoyote ambayo itanifanya niajiriwe au kujiajiri je,ni kitu gani naweza nikafanya mbacho kitanifanya nipate mafanikio huko Ughaibuni?
Uje Marekani kama nani? Kwa minajili gani? Kwa visa gani?
 
Habari za wakati huu wadau,

Naomba kuuliza hivi kwa mfano nikapata bahati ya kwenda kuishi Marekani aliyakuwa sina profesion yoyote ambayo itanifanya niajiriwe au kujiajiri je,ni kitu gani naweza nikafanya mbacho kitanifanya nipate mafanikio huko Ughaibuni?
Ukitaka dollari za haraka uwe "yaya" (Babysita) !!
Ujaaliwe matamanio yako...
 
Unajua kwenye mwenye ujasiri na kujielewa hawezi kuishi marekani
marekani si sehemu ya hovyo kuliko sehemu yeyote duniani.
Marekani si sehemu.

Marekani ni wazo.

Usishangae kesho ukaamka na kukuta Marekani imefika mpaka usikotegemea.
 
Back
Top Bottom