mtzmweusi JF-Expert Member Apr 20, 2013 8,604 8,885 Jan 21, 2024 #1 Niwape pole sana wote mliotoa hela zenu kuchangia Taifa Stars hela zenu bora mngetoa misaada kwa yatima poleni sana
Niwape pole sana wote mliotoa hela zenu kuchangia Taifa Stars hela zenu bora mngetoa misaada kwa yatima poleni sana
N Noti bandia JF-Expert Member May 3, 2020 2,214 3,482 Jan 21, 2024 #3 Miongoni mwa mambo ya kijinga sitokuja kufanya ni michango kama hiyo. Bora nisaidie mtaji yeyote nayemjua kuliko kujaza maji kwenye gunia
Miongoni mwa mambo ya kijinga sitokuja kufanya ni michango kama hiyo. Bora nisaidie mtaji yeyote nayemjua kuliko kujaza maji kwenye gunia
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 81,272 106,920 Jan 21, 2024 #4 Hela zimeenda kwa wakina mwijaku joti babalevel tu Ova
F Full Blood Picture JF-Expert Member Jan 7, 2021 1,528 2,471 Jan 21, 2024 #5 Maumivu ya kichwa. Mpira siyo kama siasa za kukimbia na masanduku ya kura
ndiga JF-Expert Member Jan 28, 2014 588 597 Jan 22, 2024 #6 Mojawapo ya vitu nilishakataa kufanya ni kushabikia taifa stars ni hatari kama kushabikia vyama vya siasa.
Mojawapo ya vitu nilishakataa kufanya ni kushabikia taifa stars ni hatari kama kushabikia vyama vya siasa.
A Aleyn JF-Expert Member Nov 12, 2011 19,304 32,664 Jan 22, 2024 #8 Mtu na akili zake kabisa eti anamchangia mwijaku kama mwanahamasa wa starz.
ILISACHA JF-Expert Member Oct 29, 2019 1,997 3,544 Jan 22, 2024 #9 Hiyo ujinga sifikirii na sitegemei kama itakujatokea nikafanya huo ufakni ccm ni chanzo cha uzalendo kutoweka kwa raia wa Tanzania acha bongo zozo ajitolee tu na ni vile wamegundua hajajikita kwenye siasa la sivyo haaa
Hiyo ujinga sifikirii na sitegemei kama itakujatokea nikafanya huo ufakni ccm ni chanzo cha uzalendo kutoweka kwa raia wa Tanzania acha bongo zozo ajitolee tu na ni vile wamegundua hajajikita kwenye siasa la sivyo haaa
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,678 52,522 Jan 22, 2024 #10 Nchi zenye u serous kwa mchezo wa Tanzania na Zambia wachezaji wote na makocha hadi wanyoosha misuli wangewekwa gerezani. Wanachezea kodi zetu.
Nchi zenye u serous kwa mchezo wa Tanzania na Zambia wachezaji wote na makocha hadi wanyoosha misuli wangewekwa gerezani. Wanachezea kodi zetu.