Mliohudhuria interview ya Customs Officer UDOM tujuane

Endelea kuamini hivyo hivyo,ndio ponea yako hio.
True sijawai kuwaza mi kanda niliosoma paper ikivuja ujue imetokea kilimanjaro na tunabaniana na nilishadharau sana izo mambo nasikia sana hata nilipokuwa chuo kwamba zinavuja

Japo ni kweli ila mim kupata ni ngumu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom