Mliochaguliwa SAUT Mwanza,here‘s the guide!!

mbona umewatisha sn ww? yaan kila nachosoma naona unawatisha tuu hapa, mbona wengine wamegraduate bila matatizo yote haya unayoyasema?

Siwatishi!! Waulize wanafunzi wa huko khs matokeo yao ya semester ya pili imekuwaje saivi kwa loan benefficiaries,hasa wale ambao special faculty fee bado haijafika..

Wengine wameamua kuilipa kukwepa usumbufu lakn hadi sasa matokeo hayatoki..call it undue red-tapes and inept ICT expertise all you want! But it‘ll fall on deaf ears,since at Saut,“only a devil may care attitude“ prevails as is the order of the day!

But hey, the VC, rev,Kitima will always come out ‘clean‘ on Star tv, to attack the govt as though he himself has set an unprecedented example with the poorly,unfriendly institution he leads. Admittedly,he‘s himself ok.But until he deals with the rot that is the staff there, a lot will raise eyebrows!
 
laki tano kusearch chumba tu daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
laki tano kusearch chumba tu daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kuna ndugu yangu amenipa username yake na pasword yake nimuangalizie matokeo nimeingia kumuangalizia katika admission status nmekuta not yet processed. hii inamaanisha nini.? na katika list ya wasiochaguliwa jina lake halipo halikadhalika katika list ya waliomiss kujaza info zao jina lake halipo. msaada please.
 
click view my selection status ukaangalie kati ya zile kozi nane katupwa wapi
 
Aiseee na kwa wale wa engineering hapo SAUT inakuwaje,,kwa practicals an courses zake vp,,
 
Back
Top Bottom