Usajili utaendelea mpaka lini wakuu, vp kwa sis tulofanya transfer kuja apo, bado confirmation atujapata tunaweza kuja ivoivo kuona kama jina lipo, tukaendelea na hatua zngine, msaada wakuu
Huwezi amini sjaenda kuchukua Admission mpaka sasa ..vip mbn site yao ipo down siku zoote hzo ..hamjawauliza mkuu
Kwa wale Mliochaguliwa NIT first Year 2015 tuktane hapa Tupeane UPDATES maana nashanga WEBSITE YA CHUO ipo Down More than 3 weeks .Hawa jamaa wapo serious Kweli?
Usajili utaendelea mpaka lini wakuu, vp kwa sis tulofanya transfer kuja apo, bado confirmation atujapata tunaweza kuja ivoivo kuona kama jina lipo, tukaendelea na hatua zngine, msaada wakuu
Njoo chuoni kupata Info za transfer
Njoo chuo utapewa admission
Declaration to sponsor form kama Una mkopo nani atajaza
Jamani wana nit wa first year vip jaman mambo yanakwendaje huko chuo.
Bum watu washaanza ku sign? au bado,? naomba nijue wadau
Jamani wana nit wa first year vip jaman mambo yanakwendaje huko chuo.
Bum watu washaanza ku sign? au bado,? naomba nijue wadau
j3 tunaanza kusign mkuu