Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

JF kuna watu wamekuja kutafuta ndoa. Na watu wenye utani kama mimi huwa tunawakera saana.
Unajua mambo mengine huwa yanatokea tu, si kwamba mtu anakuwa amekuja kutafuta ndoa. Mnazoeana then mnajikuta mnataka kufahamiana zaidi, then safari moja inaanzisha nyingine mpaka watu wanaoana humu.
Ndio uache utani na wake za watu

Habari hizi RRONDO ndio alinisimulia.
 
Hakuna kuna watu wamesimuliwa JF unaweza kupata mwenza nao wameamua kufungua account humu kutafuta Wenzi.

Utani upo palepale mimi mwenyewe mme wa mtu. Kama utani unavunja ndoa yako si ingekuwa kilema kwasasa.
 
Mmmmmh!!! Makubwa hayo tena!!

Utani usivuke mipaka mdogo wangu.
 
Sijawahi kuwa shetani. Nipo mkononi mwa bwana ndiyo maana unaona mwenye unazidi kunipenda tu na mimi nakuahidi mapenzi yangu kwako nitayaza teletel
Mmmmmh!!! Huko uliko naomba ukaepo hata mwaka hivi, huyu wifi kwakweli tutaivana.
 
Mipaka ya nchi eeeh. Haya nimekuskia

Natarajia kuvuta kenya hivyo utani wako usivuke huko
Wakenya ndugu zangu ujue, next week takua huko nipe namba ya wifi nikamtafute
 
Unajua mambo mengine huwa yanatokea tu, si kwamba mtu anakuwa amekuja kutafuta ndoa. Mnazoeana then mnajikuta mnataka kufahamiana zaidi, then safari moja inaanzisha nyingine mpaka watu wanaoana humu.
Ndio uache utani na wake za watu

Habari hizi RRONDO ndio alinisimulia.
Nilikusimulia au unajua ulivunja uelekeo wa ndoa yangu..
 
Back
Top Bottom