Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 11, 2017 #1,461 lancanshire said: Ah okey. Sorry nimevamia kumbe.sikuwa najua. Ahsante kwa kunikaribisha Click to expand... Usijali aisee, tuko pamoja..... Yale maneno ya joti..
lancanshire said: Ah okey. Sorry nimevamia kumbe.sikuwa najua. Ahsante kwa kunikaribisha Click to expand... Usijali aisee, tuko pamoja..... Yale maneno ya joti..
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 May 11, 2017 #1,462 RRONDO said: Hujambo mrembo.... Click to expand... Sijambo kwema?!
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 May 11, 2017 #1,463 Heaven Sent said: Hatuwazii mema at all Click to expand... Kwa kweli..
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 May 11, 2017 #1,464 espy said: Mimi mnanikuza tu, hiyo miezi 9 hainihusu jamani. Click to expand... Hahaha!, sawa mamie. Halafu angejua siku hizi na utaalamu uliokubuhu watu wanaona shida kwenda mpaka 9. Wanaishia njiani tu RRONDO
espy said: Mimi mnanikuza tu, hiyo miezi 9 hainihusu jamani. Click to expand... Hahaha!, sawa mamie. Halafu angejua siku hizi na utaalamu uliokubuhu watu wanaona shida kwenda mpaka 9. Wanaishia njiani tu RRONDO
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 May 11, 2017 #1,465 Ngoda95 said: Nalendwa ni hii mvua kweliii? Ngoja nimeanza kuhesabu by January jibu tutalipata. Click to expand... .. Haha, waala, kutakuwa hakuna kitu. 🙂
Ngoda95 said: Nalendwa ni hii mvua kweliii? Ngoja nimeanza kuhesabu by January jibu tutalipata. Click to expand... .. Haha, waala, kutakuwa hakuna kitu. 🙂
Ngoda95 JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 2,690 Reaction score 4,919 May 11, 2017 #1,466 Heaven Sent said: Mmh bora hivyo kuliko kuwapa moyo, afu mje mnikimbie Click to expand...
Ngoda95 JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 2,690 Reaction score 4,919 May 11, 2017 #1,467 Nalendwa said: .. Haha, waala, kutakuwa hakuna kitu. 🙂 Click to expand... Bora... RRONDO alitahadharisha. Na nikicheki wingu limetandaa
Nalendwa said: .. Haha, waala, kutakuwa hakuna kitu. 🙂 Click to expand... Bora... RRONDO alitahadharisha. Na nikicheki wingu limetandaa
swamy JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 252 Reaction score 145 May 11, 2017 #1,468 Mimi hapa
manditoo JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 257 Reaction score 128 May 11, 2017 #1,469 Mmmmh umekuja humu kutongoza tu hauna jengine cyo?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,104 May 11, 2017 #1,470 upo vizuri Mwanyasi said: Uliniona nilipokuwa nimekaaa? Click to expand...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,774 Reaction score 129,532 May 12, 2017 Thread starter #1,471 swamy said: Mimi hapa Click to expand... Wewe hapo umefanya nini?
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,774 Reaction score 129,532 May 12, 2017 Thread starter #1,472 manditoo said: Mmmmh umekuja humu kutongoza tu hauna jengine cyo? Click to expand... ......
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,774 Reaction score 129,532 May 12, 2017 Thread starter #1,473 Nalendwa said: Hahaha!, sawa mamie. Halafu angejua siku hizi na utaalamu uliokubuhu watu wanaona shida kwenda mpaka 9. Wanaishia njiani tu RRONDO Click to expand... Wala siulizi huo utaalam nawaachia nyinyi.
Nalendwa said: Hahaha!, sawa mamie. Halafu angejua siku hizi na utaalamu uliokubuhu watu wanaona shida kwenda mpaka 9. Wanaishia njiani tu RRONDO Click to expand... Wala siulizi huo utaalam nawaachia nyinyi.
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 12, 2017 #1,474 mtu chake said: ...mukuu upo kitambo sana Click to expand... Nipo mkuu, janeth1 kanifichaaaa....... Habari za majukumu aisee?
mtu chake said: ...mukuu upo kitambo sana Click to expand... Nipo mkuu, janeth1 kanifichaaaa....... Habari za majukumu aisee?
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 12, 2017 #1,475 Naona Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wapepewa gari jipya
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,774 Reaction score 129,532 May 13, 2017 Thread starter #1,476 Mwanyasi said: Naona Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wapepewa gari jipya Click to expand... Maswali mawili tu... 1.Waziri na dereva wake wanaenea humo? 2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma? [HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG]
Mwanyasi said: Naona Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wapepewa gari jipya Click to expand... Maswali mawili tu... 1.Waziri na dereva wake wanaenea humo? 2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma? [HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG]
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 13, 2017 #1,477 RRONDO said: Maswali mawili tu... 1.Waziri na dereva wake wanaenea humo? 2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma? [HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG] Click to expand... Dereva anakaa pekeake mbele... Toka dar wanalala chalinze, kisha wanalala tena Morogoro siku ya tatu saa nne usiku wanaingia Dodoma. Eeee tunabana matumizi hatupendi kutumia ma V8... Walau zile nights siyo gharama maana ni 120k/night Sent from my HUAWEI G6-U10 using JamiiForums mobile app
RRONDO said: Maswali mawili tu... 1.Waziri na dereva wake wanaenea humo? 2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma? [HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG] Click to expand... Dereva anakaa pekeake mbele... Toka dar wanalala chalinze, kisha wanalala tena Morogoro siku ya tatu saa nne usiku wanaingia Dodoma. Eeee tunabana matumizi hatupendi kutumia ma V8... Walau zile nights siyo gharama maana ni 120k/night Sent from my HUAWEI G6-U10 using JamiiForums mobile app
Clara jay Member Joined Apr 24, 2017 Posts 36 Reaction score 36 May 13, 2017 #1,478 RRONDO said: Mkuu hayakupata nini? ID mpya zinashawishi kweli ukiingia unagundua ni mzoefu anakuchora tu. Click to expand... Mmmmmh
RRONDO said: Mkuu hayakupata nini? ID mpya zinashawishi kweli ukiingia unagundua ni mzoefu anakuchora tu. Click to expand... Mmmmmh
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 14, 2017 #1,479 Hongera kwenu kina mama...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,774 Reaction score 129,532 May 15, 2017 Thread starter #1,480 Mwanyasi said: Hongera kwenu kina mama... Click to expand... Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka... Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Mwanyasi said: Hongera kwenu kina mama... Click to expand... Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka... Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote