Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 May 8, 2017 #221 RRONDO said: Duh thats a disaster......unapewa namba smartphone inadadavua 'wife'....🙁 Click to expand... Ndiyo kule mtu anashangaa huyu mtu alikuwa ananitongoza ila kakatisha gafla. Ni mambo kama haya
RRONDO said: Duh thats a disaster......unapewa namba smartphone inadadavua 'wife'....🙁 Click to expand... Ndiyo kule mtu anashangaa huyu mtu alikuwa ananitongoza ila kakatisha gafla. Ni mambo kama haya
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,222 May 8, 2017 #222 Tehtehteh Kuna mmoja huwa anajichanganyaga kweli Kuna maneno aliyoyazoea kusema kwenye I'd moja sasa akilogin na id nyingine the same maneno hahaha Smart911 love don't do me id mpya ikanihusu Tehtehteh... Good evening members!
Tehtehteh Kuna mmoja huwa anajichanganyaga kweli Kuna maneno aliyoyazoea kusema kwenye I'd moja sasa akilogin na id nyingine the same maneno hahaha Smart911 love don't do me id mpya ikanihusu Tehtehteh... Good evening members!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,388 Reaction score 176,250 May 8, 2017 #223 RRONDO said: Is it a coincidence? Kila anaetafuta ni mpya.... Click to expand... Nami nafungua id mpya nikaweke bandiko.
RRONDO said: Is it a coincidence? Kila anaetafuta ni mpya.... Click to expand... Nami nafungua id mpya nikaweke bandiko.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,807 Reaction score 129,664 May 8, 2017 Thread starter #224 espy said: Nami nafungua id mpya nikaweke bandiko. Click to expand... Hunipati..
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 May 8, 2017 #225 Maserati said: Ghkaaa. We Manga ML Ndio nn kunisema hivo!!! Halafu relato sio wala nini wewe. Umeanza kuzingua. Mimi nimeacha jamani,ila sipendi mtu awe beyond the limits. That's all jamaniii mi thio mkorofi in relato voice Click to expand... Japo mii sio mchokozi ila ntaongeza umakini nisikuchanganyie lugha haha haa
Maserati said: Ghkaaa. We Manga ML Ndio nn kunisema hivo!!! Halafu relato sio wala nini wewe. Umeanza kuzingua. Mimi nimeacha jamani,ila sipendi mtu awe beyond the limits. That's all jamaniii mi thio mkorofi in relato voice Click to expand... Japo mii sio mchokozi ila ntaongeza umakini nisikuchanganyie lugha haha haa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,388 Reaction score 176,250 May 8, 2017 #226 RRONDO said: Unakumbuka nilitoa angalizo 'old IDs only' Click to expand... Yeah nakumbuka, ila hilo angalizo lako kwakweli itabidi nilisahau kidogo.
RRONDO said: Unakumbuka nilitoa angalizo 'old IDs only' Click to expand... Yeah nakumbuka, ila hilo angalizo lako kwakweli itabidi nilisahau kidogo.
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 May 8, 2017 #227 Shunie said: Shikamoo manga Click to expand... Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,388 Reaction score 176,250 May 8, 2017 #228 Daby said: . Unaomba utumiwe namba. Ukirushiwa ya wife au sister. Ndiyo maana watu wanabadilisha I'd wengine wanazitelekeza Click to expand... Nakurushia namba ya housegirl au nampanga mtu nakutumia namba yake, jina linasoma lingineee.
Daby said: . Unaomba utumiwe namba. Ukirushiwa ya wife au sister. Ndiyo maana watu wanabadilisha I'd wengine wanazitelekeza Click to expand... Nakurushia namba ya housegirl au nampanga mtu nakutumia namba yake, jina linasoma lingineee.
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 May 8, 2017 #229 Shunie said: mm apa Click to expand... Bola eti umefunguliwa uzi hafu jamaa kanuna ni kweli?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,388 Reaction score 176,250 May 8, 2017 #230 RRONDO said: Hunipati.. Click to expand... Wakati wewe ndio target!! Tafadhali tusifanyiane hivyo.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 May 8, 2017 #232 Manga ML said: Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje? Click to expand... Manga vipi... naona mnaitana mahaba na mamdogo vipi unajua taratibu za mahari za kikwetu lakini!
Manga ML said: Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje? Click to expand... Manga vipi... naona mnaitana mahaba na mamdogo vipi unajua taratibu za mahari za kikwetu lakini!
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 May 8, 2017 #233 Shunie said: acha tu dear Click to expand... Pole wangu Hem ntag huko namii nione
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 May 8, 2017 #234 espy said: Nakurushia namba ya housegirl au nampanga mtu nakutumia namba yake, jina linasoma lingineee. Click to expand... Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi
espy said: Nakurushia namba ya housegirl au nampanga mtu nakutumia namba yake, jina linasoma lingineee. Click to expand... Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,807 Reaction score 129,664 May 8, 2017 Thread starter #235 Manga ML said: Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje? Click to expand... Ila kumiliki mtoto kama avatar ya Shunie raha sana....
Manga ML said: Mahabaaaa love wangu siku zako zinaendaje? Click to expand... Ila kumiliki mtoto kama avatar ya Shunie raha sana....
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,388 Reaction score 176,250 May 8, 2017 #236 Daby said: Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi Click to expand... Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona.
Daby said: Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi Click to expand... Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,388 Reaction score 176,250 May 8, 2017 #237 RRONDO said: Ila kumiliki mtoto kama avatar ya Shunie raha sana.... Click to expand... Nalendwa ukuje hapa mama, siku ile si nilikuambia huyu msukuma anakuchora.
RRONDO said: Ila kumiliki mtoto kama avatar ya Shunie raha sana.... Click to expand... Nalendwa ukuje hapa mama, siku ile si nilikuambia huyu msukuma anakuchora.
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,973 Reaction score 1,204 May 8, 2017 #238 Hivi ID inabadilishwa vip
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 May 8, 2017 #239 espy said: Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona. Click to expand... Acha ukatili wa kijinsia bwana. Hata akitanguliza vinoti!
espy said: Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona. Click to expand... Acha ukatili wa kijinsia bwana. Hata akitanguliza vinoti!
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 May 8, 2017 #240 RRONDO said: Hii nayo mpya lakini imechangamka! Click to expand... Juzi kati niliingia kuperuzi tu nikakutana na neno lake hilo khaa nikashindwa nakazama tu kumpa like Na sikua ahaka kua ni mpya kumbe kabadili ha ha haa
RRONDO said: Hii nayo mpya lakini imechangamka! Click to expand... Juzi kati niliingia kuperuzi tu nikakutana na neno lake hilo khaa nikashindwa nakazama tu kumpa like Na sikua ahaka kua ni mpya kumbe kabadili ha ha haa