RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,461 espy said: Na wewe umo kwenye hiyo list? RRONDO alishasema walaaa hafikirii kuoa. Click to expand... Hebu nikumbushe lini nilikwambia hivyo...?
espy said: Na wewe umo kwenye hiyo list? RRONDO alishasema walaaa hafikirii kuoa. Click to expand... Hebu nikumbushe lini nilikwambia hivyo...?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,462 RRONDO said: ππππ Click to expand... Alafu leo haujanipm sijui umeanza kukata tamaa!! Usinifanyie hivyo bwana.
RRONDO said: ππππ Click to expand... Alafu leo haujanipm sijui umeanza kukata tamaa!! Usinifanyie hivyo bwana.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,463 RRONDO said: Hebu nikumbushe lini nilikwambia hivyo...? Click to expand... Siku ileee tuko paleeee
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,464 espy said: Yule mtazama isidingo, sio yule mwingine. Click to expand... Figa moja haliinjiki chungu....ππ
espy said: Yule mtazama isidingo, sio yule mwingine. Click to expand... Figa moja haliinjiki chungu....ππ
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,465 espy said: Alafu leo haujanipm sijui umeanza kukata tamaa!! Usinifanyie hivyo bwana. Click to expand... Ha ha ha ha ha nakuacha uni miss miss kidogo....
espy said: Alafu leo haujanipm sijui umeanza kukata tamaa!! Usinifanyie hivyo bwana. Click to expand... Ha ha ha ha ha nakuacha uni miss miss kidogo....
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,466 espy said: Siku ileee tuko paleeee Click to expand... Ndio alivyokudanganya mdogo wako....? Kakimbia bahati....
espy said: Siku ileee tuko paleeee Click to expand... Ndio alivyokudanganya mdogo wako....? Kakimbia bahati....
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,467 espy said: Siku ileee tuko paleeee Click to expand... Yule binti wa ma-exposure kui kapotelea wapi?
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 May 31, 2017 #2,468 RRONDO said: Huyo mito hayupo humu kweli?! Click to expand... Nipo kiongozi, ni majukumu tu ya hapa na pale ila nipo
RRONDO said: Huyo mito hayupo humu kweli?! Click to expand... Nipo kiongozi, ni majukumu tu ya hapa na pale ila nipo
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,469 mito said: Nipo kiongozi, ni majukumu tu ya hapa na pale ila nipo Click to expand... Duh pole na majukumu mkuu....usipotee sana
mito said: Nipo kiongozi, ni majukumu tu ya hapa na pale ila nipo Click to expand... Duh pole na majukumu mkuu....usipotee sana
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 May 31, 2017 #2,470 espy said: Wetu haukufi kaka yangu kipenzi, my kaka mito nae sijui kaenda wapi, QUIGLEY nae nimemmiss Click to expand... Nipo my sister, miss you too!!
espy said: Wetu haukufi kaka yangu kipenzi, my kaka mito nae sijui kaenda wapi, QUIGLEY nae nimemmiss Click to expand... Nipo my sister, miss you too!!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,471 RRONDO said: Figa moja haliinjiki chungu....ππ Click to expand... Oooh kumbeeee! Basi sawa. Nilidhani mafiga matatu ni kwa sisi wanawake tu!
RRONDO said: Figa moja haliinjiki chungu....ππ Click to expand... Oooh kumbeeee! Basi sawa. Nilidhani mafiga matatu ni kwa sisi wanawake tu!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,472 RRONDO said: Ha ha ha ha ha nakuacha uni miss miss kidogo.... Click to expand... Agalia wenzio wasije kukuwahi.
RRONDO said: Ha ha ha ha ha nakuacha uni miss miss kidogo.... Click to expand... Agalia wenzio wasije kukuwahi.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,473 RRONDO said: Ndio alivyokudanganya mdogo wako....? Kakimbia bahati.... Click to expand... Thubutuuu!! Shem wangu wa sasa ni boonge la bahati, yaani kaokota embe chini ya mbuyu. Full maburudani.
RRONDO said: Ndio alivyokudanganya mdogo wako....? Kakimbia bahati.... Click to expand... Thubutuuu!! Shem wangu wa sasa ni boonge la bahati, yaani kaokota embe chini ya mbuyu. Full maburudani.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,474 espy said: Thubutuuu!! Shem wangu wa sasa ni boonge la bahati, yaani kaokota embe chini ya mbuyu. Full maburudani. Click to expand... Lazima anakununulia vi-vocha unaona umepataaaaaa!
espy said: Thubutuuu!! Shem wangu wa sasa ni boonge la bahati, yaani kaokota embe chini ya mbuyu. Full maburudani. Click to expand... Lazima anakununulia vi-vocha unaona umepataaaaaa!
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 May 31, 2017 #2,475 RRONDO said: Duh pole na majukumu mkuu....usipotee sana Click to expand... Asante sana kiongozi, nitajitahidi kuingia ingia aisee, nimeishapitwa na mengi sana humu, daah!!
RRONDO said: Duh pole na majukumu mkuu....usipotee sana Click to expand... Asante sana kiongozi, nitajitahidi kuingia ingia aisee, nimeishapitwa na mengi sana humu, daah!!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,476 mito said: Asante sana kiongozi, nitajitahidi kuingia ingia aisee, nimeishapitwa na mengi sana humu, daah!! Click to expand... Busara zako bado zinahitajika.
mito said: Asante sana kiongozi, nitajitahidi kuingia ingia aisee, nimeishapitwa na mengi sana humu, daah!! Click to expand... Busara zako bado zinahitajika.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,477 RRONDO said: Yule binti wa ma-exposure kui kapotelea wapi? Click to expand... Majukumu ya kifamilia yamembana.
RRONDO said: Yule binti wa ma-exposure kui kapotelea wapi? Click to expand... Majukumu ya kifamilia yamembana.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,478 mito said: Nipo my sister, miss you too!! Click to expand... Nilikumiss hadi naumwa my lovely kaka, how are you?
mito said: Nipo my sister, miss you too!! Click to expand... Nilikumiss hadi naumwa my lovely kaka, how are you?
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,688 Reaction score 129,335 May 31, 2017 Thread starter #2,479 espy said: Majukumu ya kifamilia yamembana. Click to expand... Kumbe wewe huna majukumu kama mimi.....πππ
espy said: Majukumu ya kifamilia yamembana. Click to expand... Kumbe wewe huna majukumu kama mimi.....πππ
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,106 May 31, 2017 #2,480 RRONDO said: Lazima anakununulia vi-vocha unaona umepataaaaaa! Click to expand... Alafu umenikumbusha, uliniahidi kuninunulia nini?
RRONDO said: Lazima anakununulia vi-vocha unaona umepataaaaaa! Click to expand... Alafu umenikumbusha, uliniahidi kuninunulia nini?