Halafu wewe ndiye nilikuwa nakusubiri hapa.Id imezeeka au![]()
![]()
Halafu wewe ndiye nilikuwa nakusubiri hapa.
Eeh nitajie kale ka I'd kako kapya nisije nikarudia kukutongoza.
ungeniuliza mapema...tayari ushaharibuSikuambii ili nikukamate na ubazazi wako
Mimi nimeamua kukomaa na nyie wenye ID za zamani..ila hizi mpya zinashawishi sana.🙂🙂🙂
sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error

Hizo mpya ndio nakutana na miss chagga kwa mara ya nne! 🙂🙂🙂🙂![]()
![]()
sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error
![]()
![]()
Mkuu umepatia sana yani ha ha haaaaID mpya nyingi zimechangamka sana....ID za zamani zime mute....
ila miss chagga atagundulika tu sidhani kama tabia yake ya kupenda hela anaweza kufanikiwa kuificha kwenye id mpya