Nipo nipo tuuuSafi bhana
Nakuonaa nakuonaaa
Mimi nmechange usernameMkuu hayakupata nini? ID mpya zinashawishi kweli ukiingia unagundua ni mzoefu anakuchora tu.
Yeah yeahWewe nakumbuka uliweka wazi....kan.....ze!
kumbe mpo wengi eee
Mimi bado najiuliza tuuu ata sijuiliniiMichepuko sio dl mkuu km ushafanikiwa kupata mmoja hapa jf nahc anatosha wengine tafuta insta, fb na kwengineko. Usichukue wote mtaa mmoja.