Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Huyo baba mkwe ni mtu wa Pwani 🤣🤣🤣Naona kabisa ndoa haina ahueni yoyote, migogoro haiishi na chanzo kikubwa ni ubishi na kiburi cha mke wangu, na pia baba mkwe anaongea sana maneno ya kumjaza kiburi bintiye, hilo ndio linapeleka zaidi ndoa yetu mtaroni.
Kama kuna ushauri naomba.
Kama kuna ushuhuda naomba, jinsi ilivyo ngumu kukabiliana na mazoe mwanzo.
Ahsante.