kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,066
- Thread starter
- #21
wazazi wa huyo mwananke je wote waislamu?na wapo hai yaani mwanamke kubadili dini wakati wazazi wake waislamu ni ngumu,halafu ukute wazazi wanaishi pamojaNimeoa Mke toka Familia ya Kiislamu, amebadili dini, maisha yanaendelea, kanisani huwa tunaenda wakati mwingine anachoka anapumzika namuacha, anasema ibada ya makanisa ya Kikokole inachukua muda mwingi sana. Anapenda RC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
