kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,066
- Thread starter
- #41
shukrani mkuu hapo sawa ila wasiwasi watoto wasije kuwa waislamu wakaniacha ukiristo peke yangu maana wanawake wananguvu ya ushawishi kwa watotoNi upumbavu sana kukosa mke wa maisha yako eti kwa sababu ya upumbavu wa dini ulioletwa na wakoloni baada ya mababu zetu kichinjwa sana ili wakubali .Ushauri wangu ambao na mimi nimepitia hali hiyo na sasa naishi na mke wangu kwa amani na upendo.
usibadili imani yako kama wewe ni mfia dini, ila nenda kaoe kwa tamaduni na imani za upande wa mkeo huku moyoni mwako ukiwa na msimamo wako.fata utaratibu wao wote chukua mke wako ondoka nae ,maisha yenu ya nyumbani ni maamuzi yako, wewe ndio baba ,wewe ndio kichwa utaishi vile utakavyo na watoto wewe ndio ukoo wako sidhani kama mama atakushinda nguvu.naamini hata huyo dada atakuelewa maana kwa sasa anaogopa tu wazazi wake sio kama hataki kukufuata
Sent using Jamii Forums mobile app