Hahahah nakumanya chalyangu, ubaya wajinga hawatakaa waishe kamwe! Mpaka mwisho wa dunia!Hahaahaaa....[emoji12] [emoji12]
Kweli ujinga ni sawa na furushi la mavi na usipo lituwa kwa harufu yake, basi utalishusha kwa uzito wake
hapana mkuu siwezi kubadili dini nimechukua maumuzi ya kumuacha tu japo tulipendanaUsibadili dini kwa sababu yake,badili kwa kuwa uislamu ndio pekee inayofuata matakwa ya Allah.
Nakushauri njo kwenye uislamu c kwa sababu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijakuelewa chali wanguHahahah nakumanya chalyangu, ubaya wajinga hawatakaa waishe kamwe! Mpaka mwisho wa dunia!
khaaaa. Waza beyond utamu wa papuchi. Future.... watoto... waza long after utamu utakapoisha.Papuchi ya kipemba ilivyotamu mkuu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mawili, kama unampenda huyo mamzi funga harusi ya bomani chalyangu! Kama haifai basi achana nae maana najua kubadili dini kwa ajili yake haiwezekani!
Mmmh bidada light up a little. Huwezi kuwa serious muda wotekhaaaa. Waza beyond utamu wa papuchi. Future.... watoto... waza long after utamu utakapoisha.
hapo sawa chali wanguKuna mawili, kama unampenda huyo mamzi funga harusi ya bomani chalyangu! Kama haifai basi achana nae maana najua kubadili dini kwa ajili yake haiwezekani!
Binafsi siwezi muacha mwanamke anaenipa raha na amani hata kama ni mu AL-QAEDA! Ntaoa tu as nimepanga iwe hivyo.khaaaa. Waza beyond utamu wa papuchi. Future.... watoto... waza long after utamu utakapoisha.
habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
nimesha achana nae mkuu nimeamua kufuata wa dini yanguHayo mambo yanatesa sana, achana naye huyo dada.
Your love is strongBinafsi siwezi muacha mwanamke anaenipa raha na amani hata kama ni mu AL-QAEDA! Ntaoa tu as nimepanga iwe hivyo.
Yeah mi nikipenda huwa hamna kitu kinaweza ingilia hapo kati zaidi ya kifo!Your love is strong
wengine dini kwanza hakuna kitu kinaleta raha kama couple yako ikiwa dini moja,sio dini tofauti watoto mara huku huku inakera sana halafu isitoshe wanawake wanaushaeishi mkubwa kwa watoto wakiwaambia kitu hawaachiYeah mi nikipenda huwa hamna kitu kinaweza ingilia hapo kati zaidi ya kifo!
Kama umekulia kwenye wazazi wa dini moja we komaa tu mzee baba! Kwangu mie makes no difference afterall dini sio kitu cha maana sana kiasi cha kunilitea vikwazo kwenye maisha yangu japo naamini katika mungu mmoja!wengine dini kwanza hakuna kitu kinaleta raha kama couple yako ikiwa dini moja,sio dini tofauti watoto mara huku huku inakera sana halafu isitoshe wanawake wanaushaeishi mkubwa kwa watoto wakiwaambia kitu hawaachi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah mi nikipenda huwa hamna kitu kinaweza ingilia hapo kati zaidi ya kifo!