kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,861
- 3,098
- Thread starter
-
- #21
wazazi wa huyo mwananke je wote waislamu?na wapo hai yaani mwanamke kubadili dini wakati wazazi wake waislamu ni ngumu,halafu ukute wazazi wanaishi pamojaNimeoa Mke toka Familia ya Kiislamu, amebadili dini, maisha yanaendelea, kanisani huwa tunaenda wakati mwingine anachoka anapumzika namuacha, anasema ibada ya makanisa ya Kikokole inachukua muda mwingi sana. Anapenda RC.
Sent using Jamii Forums mobile app
shukurani ila kubadili dini itakuwa ngumu maana nimesali kanisa la TAG tangu mdogo nibadili dini siwezi naona nalitosa kanisa langu
Sent using Jamii Forums mobile app
habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
1.mwache kabisa ninayo experience ndio majirani zetu wanaroho mbaya jua hilo.habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
binadamu dini tunazikuta na kuzirith hatuzaliwi nazo ni mapokeo toka kwa waliotulea ( mm ni non belver lakin nipo na nafuata tamaduni za warabu/ waislam)habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
We jini unamjua? Huko kanisani ndio mnavyofundishwa kuwa waislam wana majini?1.mwache kabisa ninayo experience ndio majirani zetu wanaroho mbaya jua hilo.
2.hawataki watu waendelee wanamauza uza .
3.wanapenda sana kuwawekea malimbwata waume zao utaishije na wanamajini napia niwatu wanafki.
4.niliwahi kuwa nao niwachukuliaji nyota study sio wake tu hata wanaume zao.
5.wanapenda muda mwingi kusengenya watu wanajiona wanadiriki kuudhi mtu kwa furaha yao.
Ukiwa nao hata huendelei kimaisha.
Nausibadili dini.
Kiufupi wewe ni mtoto wa nuru acha kuwafuata watoto wa giza utahimili majini yao.
Manukato na lifestyle yao?? Utaweza??
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae katafute mkristo mwenzakohabarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wote ni waislamu,Kwa sasa yupo Mama tu, wakati tunaoana wote walikuja Kanisani.wazazi wa huyo mwananke je wote waislamu?na wapo hai yaani mwanamke kubadili dini wakati wazazi wake waislamu ni ngumu,halafu ukute wazazi wanaishi pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
1.mwache kabisa ninayo experience ndio majirani zetu wanaroho mbaya jua hilo.
2.hawataki watu waendelee wanamauza uza .
3.wanapenda sana kuwawekea malimbwata waume zao utaishije na wanamajini napia niwatu wanafki.
4.niliwahi kuwa nao niwachukuliaji nyota study sio wake tu hata wanaume zao.
5.wanapenda muda mwingi kusengenya watu wanajiona wanadiriki kuudhi mtu kwa furaha yao.
Ukiwa nao hata huendelei kimaisha.
Nausibadili dini.
Kiufupi wewe ni mtoto wa nuru acha kuwafuata watoto wa giza utahimili majini yao.
Manukato na lifestyle yao?? Utaweza??
Sent using Jamii Forums mobile app
habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wapentekoste ndio kama akina gwajima/ kakobe?Kwanza humu kwenye makanisa ya kipentekoste tuna abudu na watu kila dini tupo nao, kila mtu anakuja kwa shida zake, mtu anatoka kwake kama anaenda kariakoo na kichwa gubigubi, kumbe anaenda kukanyaga mafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya upako .
Sent using Jamii Forums mobile app
piga chini! hmna ndoa hapo, mtahishia kulumbana na kugombana siku za usoni!habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa kutuongezea kondoooNimeoa Mke toka Familia ya Kiislamu, amebadili dini, maisha yanaendelea, kanisani huwa tunaenda wakati mwingine anachoka anapumzika namuacha, anasema ibada ya makanisa ya Kikokole inachukua muda mwingi sana. Anapenda RC.
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru mkuuKama mwanaume mwenzako nakushauri usichanganye dini. Simamia msimamo wako mkuu. Kama ataamua kwenda sawa tu.
Utapata wa dini yako kama.. ni suala la muda
Sent using Jamii Forums mobile app
dah #katoto kazuri umeongea mengi inabidi nichukue ushauri wako kama point muhimu1.mwache kabisa ninayo experience ndio majirani zetu wanaroho mbaya jua hilo.