Mlioa/kuolewa dini tofauti nahitaji ushauri

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,849
Reaction score
3,066
Habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi.

Sasa mimi mkiristo yeye anataka mimi nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yeye awe mkristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani mimi kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkristu. Yeye hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu oa dini yako ni changamoto sana,sijahusika mm ila brother ndo muhanga,mwanzo alikubali Dini yetu baada ya watoto wawili akarudi Dini yake original.....sasa watoto wako dilemma.....najua bebi bebi zitakuwa nyingi ila mkuu issue ya dini ningumu mtu kutoka 100percent
 
Pole sana kiongozi.

Waislamu wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wa dini nyingine.

Na waislamu wanaume wanaruhusiwa kuwaoa wakristo wale wenye dini ambao wanajihifadhi.

Kwa kigezo cha kwsnza mkuu hutompata huyo binti na wala yeyr hatokupata kwa sababu kils mmoja kati yenu anaipenda dini yake.

Ukimuuliza kwa nini hutaki kubadili dini kuwa mkristo kwani ukristo una ubaya gani?

Na yeye anaweza kukuuliza kwa nini nawewe hutaki kubadili dini ukawa muislam kwani uislamu una ubaya gani?

Muhimu kila mmoja kaipenda dini yake jambo zuri kuna wanawake wengi wa kikristo wa kuoa.hilo ni jambo la muda tu mkuu vumilia maumivu au kuwa muislamu safi uchukue mali ya kipemba ukajilie maini mkuu.

Toto la kipemba limeshaelekea kibla tayari bado kuchinjwa tu mkuu wewe unaangalia dini,kuwa muislamu ukafaidi mali za kipemba mkuu,mkeo atafurahi sana na ataona unampenda kweli.japo na wewe sikuambii uhisi kama hakupendi.
.ila mapenzi ya dini yawe makubwa sana ndoa itanoga.
 
"DINI" = TAMADUNI = MILA= DESTURI... Ni muhimu sana kuangalia hivi vitu kabla ya mapenzi/uchumba/ndoa...

Ukikosana na hivi vitu umekosana na jamii/mazingira kwa ujumla..
Utaishi maisha yasiyo na furaha, amani na upendo... Kisha utaanza kusema kwamba umerogwa, hupendwi, umetengwa...

Maliza na hayo maneno ya signature yangu

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Uzuri ni kwamba mkubaliane kwa dhati kabisa bila hiyana... Wazazi na ndugu pia waridhie.... Hapa kutakuwa hakuna tabu...

Sasa ikiwa ni kinyume chake, basi tabu lazima iwepo, tena kubwa mno
Ndoa ya serikali , watoto wakikua watachagua dini yao wenyewe . Watoto wajue tu kuna Mungu mmoja na wakiwa watu wazima watajua namna ya kumwabudu .

Sent using Jamii Forums mobile app

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Mpe mimba tu ndoa ataitaka mwenyewe,hata kwao wakijua watahitaji uchukue mzigo faster. Kubadili dini hakufanyiki kwa kumshawishi wewe,akiwa mjamzito yuko kwako basi safari za kanisani zianze. Ajifunze Imani yako kwa undani ndipo afanye maamuzi,kama vpi wote acheni hizo dini manake ndizo zinazo watenganisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliapa miaka mingi huko kabla sijaoa,sitakuja kuoa mwanamke wa dini tofauti na yangu na ikitokea basi yeye abadili kunifuata mimi tena iwe kwa hiari si kwa shinikizo langu.
Nikapata binti sote Christians sema yeye RC mimi Pentecostal.
Akakataa kuwa mlokole eidha mimi nimfuate yeye,alikuja kushangaa tu anapokea kadi ya mwaliko hata ya ufadhiri sikumpa maana asingechanga,mpaka leo abebaki kuyatamani tu maisha yangu,naishi vyema na mmasai wangu aliyekuwa mrutheli ila aliponiona ni future husband akahama kwa speed ya umeme.Na yeye anapambana na muRC mwenzake huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loo jamani si ungepitia huku
Niliapa miaka mingi huko kabla sijaoa,sitakuja kuoa mwanamke wa dini tofauti na yangu na ikitokea basi yeye abadili kunifuata mimi tena iwe kwa hiari si kwa shinikizo langu.
Nikapata binti sote Christians sema yeye RC mimi Pentecostal.
Akakataa kuwa mlokole eidha mimi nimfuate yeye,alikuja kushangaa tu anapokea kadi ya mwaliko hata ya ufadhiri sikumpa maana asingechanga,mpaka leo abebaki kuyatamani tu maisha yangu,naishi vyema na mmasai wangu aliyekuwa mrutheli ila aliponiona ni future husband akahama kwa speed ya umeme.Na yeye anapambana na muRC mwenzake huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu oa dini yako ni changamoto sana,sijahusika mm ila brother ndo muhanga,mwanzo alikubali Dini yetu baada ya watoto wawili akarudi Dini yake original.....sasa watoto wako dilemma.....najua bebi bebi zitakuwa nyingi ila mkuu issue ya dini ningumu mtu kutoka 100percent
nashukuru mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kiongozi.

Waislamu wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wa dini nyingine.

Na waislamu wanaume wanaruhusiwa kuwaoa wakristo wale wenye dini ambao wanajihifadhi.

Kwa kigezo cha kwsnza mkuu hutompata huyo binti na wala yeyr hatokupata kwa sababu kils mmoja kati yenu anaipenda dini yake.

Ukimuuliza kwa nini hutaki kubadili dini kuwa mkristo kwani ukristo una ubaya gani?

Na yeye anaweza kukuuliza kwa nini nawewe hutaki kubadili dini ukawa muislam kwani uislamu una ubaya gani?

Muhimu kila mmoja kaipenda dini yake jambo zuri kuna wanawake wengi wa kikristo wa kuoa.hilo ni jambo la muda tu mkuu vumilia maumivu au kuwa muislamu safi uchukue mali ya kipemba ukajilie maini mkuu.

Toto la kipemba limeshaelekea kibla tayari bado kuchinjwa tu mkuu wewe unaangalia dini,kuwa muislamu ukafaidi mali za kipemba mkuu,mkeo atafurahi sana na ataona unampenda kweli.japo na wewe sikuambii uhisi kama hakupendi.
.ila mapenzi ya dini yawe makubwa sana ndoa itanoga.
shukurani ila kubadili dini itakuwa ngumu maana nimesali kanisa la TAG tangu mdogo nibadili dini siwezi naona nalitosa kanisa langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom