Inategemea na chuo ulichosomawasalaam waungwana! kuna kozi hapo dit inaitwa certificate ya computer engineering and IT(NTA5). Noamba kujua kwa mtu ambae kasoma certificate ya IT(NTA4)) pekee kutoka chuo kingine anaweza pokelewa kusoma hiyo kozi. Asanteni
haupokelewi labda kama kuna rushwa lakini taratibu za DIT unasoma Diploma pale miaka 3 including na certificate humo, pia kama una D Flat inabid usome Entry course katika chuo chao hawakubali kutoka chuo kingine maana nafasi huwa zinajaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wasalaam waungwana! kuna kozi hapo dit inaitwa certificate ya computer engineering and IT(NTA5). Noamba kujua kwa mtu ambae kasoma certificate ya IT(NTA4)) pekee kutoka chuo kingine anaweza pokelewa kusoma hiyo kozi. Asanteni
Inawezekana ila iwe chuo ulichosoma kina tambuliwa na nacte na uwe navigezo vya kimasomo vitakiwavyo.maana dit Wana mbwembwe nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
tofauti na ufaulu mzuri katika kozi husika kitu gani kingine kinaweza kuwa kikwazo.