Mzee unaniongeleshaje kiingereza, ulinilipia ada!? Halafu kibaya ni asubuhi, naamka kutoka usingizini nakutana na kiingereza, kibaya zaidi nimeamk na swaumu, nimefunga mwenzio hata daku sijala jana.
Ni mtazamo wako, au pengine Hilo ni kwa akina Mama, Mimi mwanaume na ninaelekea mwisho wa maisha yangu, sijaona taabu, ni maisha bila bhughugha na mtu.