Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.
Hutoweza kuja kwa sababu ipo njee ya uwezo wangu inafanyika zanzibar sasa hatuna tiketi za ndege za wageni za buree waliochangia tu ndio walijumlishwa ila tutakuja dar baada ya honeymoon nitakuinbox uje utupe hongera na my wangu.
Ukiwa singo kwanza ili uweze kumaintain usingo unakua busy na kazi kiasi kwamba hauwi idle ,unakua karibu n Mungu,ukipata time unaangalia move but usiangalie move za love story wala kusikiliza miziki ambayo itakufanya utamani mahusiano