G
π€£π€£π€£ japo sijui kilichopo kwenye ndoa ila niseme kuwa huyo wa upande wa kulia sio Jux, hajakonda kiasi hikoMlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
View attachment 3649381
π€£π€£ cicy na wewe unakubali kweli kuwa Jux kakonda hadi kuwa hivyo?
Hapana bana hajafika huko π€£π€£π€£π€£π€£ cicy na wewe unakubali kweli kuwa Jux kakonda hadi kuwa hivyo?
Sure, binafsi nakataa pia kuwa hajakonda kihivyo Ila hii mitandao bana, wamemdizaini ana shingo kama ufagio wa chooni π π€£Hapana bana hajafika huko π€£π€£π€£
Wanayakuza lol π
Kupambana na mood swings za mtu mmoja kila siku kunatumia calories nyingi kuliko kupasua miamba Twin.
Et wame mdizaini hivi wewe π€£π€£πSure, binafsi nakataa pia kuwa hajakonda kihivyo Ila hii mitandao bana, wamemdizaini ana shingo kama ufagio wa chooni π π€£
Kataa ndoa wanajichukulia point hapa π€£Kupambana na mood swings za mtu mmoja kila siku kunatumia calories nyingi kuliko kupasua miamba Twin.
Tuhame tu my g
Sawa tuhamie ugaibuni kijana mdogoπTuhame tu my g
Sisi wenye vision bora tuzipeleke ugaibuni tuu
Wamatumbi hawana jema
Jux kaanza kula maisha wanasema kakonda.. Hii nchi wachawi ni sisi wenyewe
ππππ Mabroo watusanue mapema maana tunaanza kuogopa sasaMlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
View attachment 3649381
Daah π haya mshangaziSawa tuhamie ugaibuni kijana mdogoπ
Safii juniyaaπDaah π haya mshangazi
Kwenda kafie mbali mtoto wa juziSafii juniyaaπ
Wabongo wakikuamulia ππππ€¦π»ββοΈ