Nimeona kupitia TBC - 1 kwenye maazimisho ya siku ya Mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa Rais wa SMZ Mwanamwema Shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia kitu. Awali alikuwa akimfuatilia upande wa kushoto akijaribu kumnyang'anya kipochi alichokuwa amekikumbatia kwapani lakini hakumuachia. Baadae akasimama nyuma yake na kumwekea mkono mgongoni.
Sifahamu nia ilikuwa kumzuia asianguke au ni nini?
kuona uone wewe maswali utuulize sie...si mpigie umuulize mwenyewe au namba yake huna?? basi m-PM.

samahani michango ya white party mmepeleka kwa mtambuzi?
samahani michango ya white party mmepeleka kwa mtambuzi?
labda ndio mambo ya pwani hayo.nimeona kupitia tbc - 1 kwenye maazimisho ya siku ya mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa rais wa smz mwanamwema shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia kitu. Awali alikuwa akimfuatilia upande wa kushoto akijaribu kumnyang'anya kipochi alichokuwa amekikumbatia kwapani lakini hakumuachia. Baadae akasimama nyuma yake na kumwekea mkono mgongoni.
Sifahamu nia ilikuwa kumzuia asianguke au ni nini?