Visa vya mbowe vipo wazi sana kama ukiamua kufuatilia hafai kuishi na watu.
Mnatuharibia jukwaa! ni bora kukaa kimyaYaani hata mkitoa matusi lakini mmepigwa kipigo cha Nyani huko chalinze na bado mtabwagwa chini 2015. Nyie CHADEMA mmezoe matusi tu kila wakati mkidhania kuwa ndio siasa. Wananchi tayari wamewashutukia mtazidi kupigwa chini tuuuuu.
Wee mwenyewe mwizi, siku ukikamatwa lazima upitishiwe chupa
Mlinzi wa getini au? Umbea mwingine ungeishia huko salun,wanaume tunasoma Tanzania Daima na Raia Mwema
udini,.. Udini!... Wafuasi wa zitto kazini.
Kuna mambo muhimu ya kufanya zaidi ya siasa
Kumbe mlinzi tu. Mimi nilifikiri mwanachama. Ccm kweli sasa hivi mnashuta na mnaacha harufu kali.Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo.