jabali gumu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 229
- 46
kwa CHADEMA hii ilipofikia hats akiondoka nani chama hakiwezi yumbaa wala kufa,chama lishakomaa jomba...
Yaani hata mkitoa matusi lakini mmepigwa kipigo cha Nyani huko chalinze na bado mtabwagwa chini 2015. Nyie CHADEMA mmezoe matusi tu kila wakati mkidhania kuwa ndio siasa. Wananchi tayari wamewashutukia mtazidi kupigwa chini tuuuuu.
Loading...........................bado nasherekea ushindi wa chalinze na ivi leo siku ya mapumziko hahaha
CHADEMA ni deal kali, nawashauri watanzania waliopigika kwa kukosa karo za watoto, kodi za nyumba na hata fedha ya kula changamkia deal na ccm, wewe nunua kadi ya cdm shs.500/= halafu irejeshe ccm, kwa bei ya chini ni laki 500,000/=. Na viongozi wa cdm msisite kutupatia kadi za cdm kwani tunatafuta riziki lakini mioyo yetu ni Chadema tuuu!
Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo.
Yaani hata mkitoa matusi lakini mmepigwa kipigo cha Nyani huko chalinze na bado mtabwagwa chini 2015. Nyie CHADEMA mmezoe matusi tu kila wakati mkidhania kuwa ndio siasa. Wananchi tayari wamewashutukia mtazidi kupigwa chini tuuuuu.
Chama lilishakufa kitambo. Six akimaliza issues za katiba geneza litakuwa tayari
Godless Lema,Kurugenzi ya Habari, Dr Slaa, Ben Saanane
Njooni mtueleze ukweli.
Kama mlinzi kujiunga na chama kingine ni dalili ya kufa kwa chama alichohama, sasa sijui huyu mtoto wa Wassira kuhama CCM ni dalili ya nini !!... Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, ...