Mlinzi wa Mbowe ajiunga CCM, Chama kinakufa

Kuna mambo muhimu ya kufanya zaidi ya siasa
 
Claude Mosha ambae ni mlinzi wa club ya usiku ya Bilicanas inayomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amejiunga na ccm.

Hili lilifuatiwa baada ya mlinzi huyo kukamatwa akiwaibia wateja waliofika klabuni hapo kuburudisha akili zao,

Tarehe 10/3/2014 usiku katika sehemu ya maegesho ya klabu hiyo Mosha alikutwa na walinzi wenzake akivunja vioo vya moja ya gari la mteja wa klabu hiyo aliyefahamika kwa jina la Mr Gash,

Sakata hili lilifikishwa mbele ya uongozi wa klabu hiyo, na Mosha akasimamishwa kusibiri adhabu ya mwajiri wake aliyekuwa safarini wakati wa tukio,

Wiki iliyopita mtuhumiwa akakimbilia ccm ambako ni makazi ya wezi na vibaka nchini.
 
Hivi CDM inawapa mshawasha? Tulieni tutawanyoa tu, mnashidwa kujuamini kutokana na Chadema, kumbukeni chadema nimpango wa Mungu
 
Huyo mlinzi alifukuzwa na mbowe baada ya kukamatwa akiiba kitu kwenye gari ya mteja bilicanas.

ccm ni pango la wezi, Jumanne Mjusi alikuwa mwizi na jambazi aliyekubuhu, leo ni lulu ccm
 
Ahaa ahaaa makazi ya wizi na vibaka

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Vipigo vimefululiza mno, watu wanaogopa kuwa mashahidi wa kifo
 
Claude Mosha ambae ni mlinzi wa club ya usiku ya Bilicanas inayomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amejiunga na ccm.

Hili lilifuatiwa baada ya mlinzi huyo kukamatwa akiwaibia wateja waliofika klabuni hapo kuburudisha akili zao,

Tarehe 10/3/2014 usiku katika sehemu ya maegesho ya klabu hiyo Mosha alikutwa na walinzi wenzake akivunja vioo vya moja ya gari la mteja wa klabu hiyo aliyefahamika kwa jina la Mr Gash,

Sakata hili lilifikishwa mbele ya uongozi wa klabu hiyo, na Mosha akasimamishwa kusibiri adhabu ya mwajiri wake aliyekuwa safarini wakati wa tukio,

Wiki iliyopita mtuhumiwa akakimbilia ccm ambako ni makazi ya wezi na vibaka nchini.
Yeriko ni Msukule mkuu wa ufipa, kazi yake kuu ni kusifia wanaume wenzake
 
Huyo mlinzi alifukuzwa na mbowe baada ya kukamatwa akiiba kitu kwenye gari ya mteja bilicanas.

ccm ni pango la wezi, Jumanne Mjusi alikuwa mwizi na jambazi aliyekubuhu, leo ni lulu ccm
Wehu mnajifariji ee, na bado, hadi abaki mbowe na mtei peke yao ndio mtadimulia vizuri
 
Huyo mlinzi alifukuzwa na mbowe baada ya kukamatwa akiiba kitu kwenye gari ya mteja bilicanas.

ccm ni pango la wezi, Jumanne Mjusi alikuwa mwizi na jambazi aliyekubuhu, leo ni lulu ccm
Wee mwenyewe mwizi, siku ukikamatwa lazima upitishiwe chupa
 
Yaani hata mkitoa matusi lakini mmepigwa kipigo cha Nyani huko chalinze na bado mtabwagwa chini 2015. Nyie CHADEMA mmezoe matusi tu kila wakati mkidhania kuwa ndio siasa. Wananchi tayari wamewashutukia mtazidi kupigwa chini tuuuuu.
Ndugu unajitia aibu kwahiyo kumbe ccm ndio wananchi wamewaona wa maana mpaka mgombea wenu kujikuta kapata kura 22,000 kutoka wapiga kura 91,000? Ni kwamba nyinyi ccm mmeharibu zoezi zima la upigaji kura matokea yake watanzania sasa wameshtukia wanasiasa na majibu ndio hayo hawataki tena kupiga kura. Wala hamna cha kujisifia ndugu yangu hapo ni kwamba kama ni biashara unauza wateja wamekimbia sio kwamba wewe umeuza kuliko wenzako. Kama ni biashara ni hasara kwa wote.
 
Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.

Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?

Source: Jambo leo.
Jambo leo?
 
Huu ni ung'ombe sasa mbona lissu cdm kaka yake ccm ni dhambi alafu ukisikia mlinzi usije dhani ni bodi gadi ni mlinzi wa getini (mmasai) we soma jambo leo kama hujaendelea kuwa na fikra finyu tu

Kwani mmasai sio mtu?
 
Claude Mosha ambae ni mlinzi wa club ya usiku ya Bilicanas inayomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amejiunga na ccm.

Hili lilifuatiwa baada ya mlinzi huyo kukamatwa akiwaibia wateja waliofika klabuni hapo kuburudisha akili zao,

Tarehe 10/3/2014 usiku katika sehemu ya maegesho ya klabu hiyo Mosha alikutwa na walinzi wenzake akivunja vioo vya moja ya gari la mteja wa klabu hiyo aliyefahamika kwa jina la Mr Gash,

Sakata hili lilifikishwa mbele ya uongozi wa klabu hiyo, na Mosha akasimamishwa kusibiri adhabu ya mwajiri wake aliyekuwa safarini wakati wa tukio,

Wiki iliyopita mtuhumiwa akakimbilia ccm ambako ni makazi ya wezi na vibaka nchini.
Siasa za Tanzania balaa kumbe mwenyewe mwizi halafu kakimbilia kwa wezi!!mie nimechoka sina mbavu
 
Waingie tu CCM wote cz wanajikuta wavaa magwanda wakati hawana lolote
 
Claude Mosha ambae ni mlinzi wa club ya usiku ya Bilicanas inayomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amejiunga na ccm.

Hili lilifuatiwa baada ya mlinzi huyo kukamatwa akiwaibia wateja waliofika klabuni hapo kuburudisha akili zao,

Tarehe 10/3/2014 usiku katika sehemu ya maegesho ya klabu hiyo Mosha alikutwa na walinzi wenzake akivunja vioo vya moja ya gari la mteja wa klabu hiyo aliyefahamika kwa jina la Mr Gash,

Sakata hili lilifikishwa mbele ya uongozi wa klabu hiyo, na Mosha akasimamishwa kusibiri adhabu ya mwajiri wake aliyekuwa safarini wakati wa tukio,

Wiki iliyopita mtuhumiwa akakimbilia ccm ambako ni makazi ya wezi na vibaka nchini.

Asante kwa ufafanuzi MKUU #Yeriko , make mleta hoja kaleta kihoja tena gazeti lao la jambo Leo ndiyo chanzo cha kihoja!!!
 
mh uhuru una maana gani kwako? tangaza habari njema za marejeo ya BWANA WETU. YESU KRISTO ACHANA NA CHADEMA NA CCM.
 
CHADEMA ni deal kali, nawashauri watanzania waliopigika kwa kukosa karo za watoto, kodi za nyumba na hata fedha ya kula changamkia deal na ccm, wewe nunua kadi ya cdm shs.500/= halafu irejeshe ccm, kwa bei ya chini ni laki 500,000/=. Na viongozi wa cdm msisite kutupatia kadi za cdm kwani tunatafuta riziki lakini mioyo yetu ni Chadema tuuu!
Duhh,yaani na wewe ni mwanachama wa Chadema kweli?kweli chama kinawatu,hahahaha
Maana maelezo yako tu yanawatisha hata wenye akili timamu kuingia humo.

We umeona nani atakupa pesa ya karo ya mtoto,kula,kodi ya nyumba bila kufanyakazi na kujituma.Labda uende Mombasa au uje Zanzibar ukifka Malindi we sema shida zako tu utatatuliwa burreee
 
Back
Top Bottom